Umewekewa gari mafuta

Umewekewa gari mafuta

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Mwanamke alirudi nyumbani amelewa, mambo yakawa hivi:
Mume: Yaani umenyweshwa tena pombe na wanaume?
Mke:Wewe gari ushawekewa mafuta kazi kwako kuendesha, wasiwasi wa nini?
 
Mjinga huyo mafuta yapo kwenye gari anahojiwa nn!
 
Back
Top Bottom