Umewahi kuwa dilemma?

Kwanza kabisa mtu yoyote asikubali kuwa daraja la kuwaunganisha watu
Iwe mapenzi/Ndoa/biashara etc
Chochote kitakachotokea baina ya pande zote mbili lawama zitakua zako "kwanini ulituunganisha"
Siku ingine usirudie tena
 
Sasa hivi tuu jamani..
Nimejikuta nafolu kwa Frank
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
T yuko wapi? Ngoja nimpigie vidio kolu.
 
Wewe nawee...
Frank akiwa sawa nitamwacha aendelee na laifu lake
 
Kwanza kabisa mtu yoyote asikubali kuwa daraja la kuwaunganisha watu
Iwe mapenzi/Ndoa/biashara etc
Chochote kitakachotokea baina ya pande zote mbili lawama zitakua zako "kwanini ulituunganisha"
Siku ingine usirudie tena
Kutoa lawama kwa third party person ni immaturity, you have to own yo own mistakes. Mie niliwakutanisha, mambo mengine waliyaendeleza wenyewe. Naanzaje kuingia katikati?
Kumbuka wakati nawakutanisha sikuwakutanisha kwa kuwaambia nataka wae wapenzi.
 
nami nataka unikutanishe na Sakayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…