Umewahi kuwa dilemma?

Je uko radhi kuwapoteza wote au mmoja kati yao? Kuna aina mbili za matatizo moja ni la wewe kulitengeneza au kutengenezewa

mpuuzi mpuuzi tu
 
Kwa post hii Uzi ufungwe kazi imeisha.

[emoji847][emoji847]
Just as simple as that. "Fulani unajua fulani anakucheat"[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
mwambie frank kuwa ni kweli ulijua ila hukupenda kuwa chanzo cha wenyewe kugombana huyo lulu muda ukifika atajua tu kuwa sio wewe uliyemwambia frank
Nimeelezea sana, anachodai yeye ni kuwa kama rafiki yake nilipaswa kumueleza no matter what[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Just mute, muda utaamua nani alikuwa sahihi. Kama wataondoka wote kwenye maisha yako kwa sasa basi hawakustahili kuwepo tangu awali.
 
Just mute, muda utaamua nani alikuwa sahihi. Kama wataondoka wote kwenye maisha yako kwa sasa basi hawakustahili kuwepo tangu awali.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…