Umewahi Kusoma Hapa?

Umewahi Kusoma Hapa?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
hii shule inaitwaje na iko mkoa gani? umewahi kusoma hapo? tafadhali ni-pm
DSC01581.JPG
 
mbona unaonekana kama uko "mbele?"
Amavubi nimeishiwa maneno bana
haya kama uko hivyo
Naamini ni malangali Iringa au Ifunda maana Tosa na Mkwawa nishawahi kwenda
kantalamba naijua vizuri sana
 
images.jpg
Kibo10 nimeishiwa maneno hiyo ya kuwa shemale imeniacha hoi tena ni mpya ndo maana sikuwa na la kusema kabisa hapo. Amavubi hii ni mpya mkuu i rest my case

Mungu amemuumba mwanadamu mnyofu, lakn wamebuni mavumbuzi mengi -Yeremiah
 
Back
Top Bottom