Umewahi kusoma Bunge Primary School--Dar es salaam

Mpogoro

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
386
58
Habari waungwana!

Hii ni kwa wale wote ambao wamewahi kusoma shule ya msingi Bunge hapa Dar es salaam.Kumekuwa na mkakati wa kutafutana ili tuweze kufanya REUNION kubwa mwishoni mwa mwaka huu.

Mkakati huu hauishii kwenye REUNION pekee ila tunajaribu pia kuangalia ni namna gani shule yetu ya Bunge itafaidika na wahitimu wake yaani alumni.

Kuna mailing list/google group ambayo kwa sasa ndo inatuunganisha.Ina zaidi ya wanachama 90 kwa sasa hivyo na wewe unakaribishwa kujiunga na group hii.Click kwenye link below

http://groups.google.com/group/ex-bunge/manage_members_add?hl=en

na u-add e-mail yako ili uweze kupata updates toka kwa wana-Bunge otherwise unaweza ukani-PM ili niku-add kwenye hiyo group.

Ukipata taarifa hii uwaeleze na wengine...unaweza pia kuandika e-mail kwenda admin4(at)bunge-alumni.or.tz na utapewa maelezo zaidi na haraka juu ya huu mkakati mkubwa wa wana-Bunge!
 
Dah,hizi Breaking News nyingine jamani too much,yani sa'hivi kila kitu Breaking News!!!!!...Lol
 
Back
Top Bottom