Umewahi kusikia kundi la "Seven Disciples"?

Umewahi kusikia kundi la "Seven Disciples"?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,282
Reaction score
44,794
Ka nzi kangu kalikuwa likizo kidogo lakini kamerudi na taarifa ya kitu kama hiki. Sasa watu wasije wakarukia na kufikiria ni kundi la kisiasa hasa baada ya mazungumzo ya wiki hii. Kwa kadiri ya taarifa ni hili ni kundi la kidini lenye msimamo mkali na linadaiwa linataka kujaribu kufanya 'madudu' krismasi hii. Sijui ni kweli kwa kiasi gani...
 
MBona husemi vyema kama mwandishi?Jaribu funguka zaidi na uwe straight,ulichoongea kimejificha zaidi na umezidi changanya kwa tahadhari inayoelekeza unachotaka kikataa.
 
Mkuu Mwanakijiji kwanza kila siku nilikuwa nataka kuuliza kanzi kalifia kwenye kidonda nini manake sijakasikia muda mrefu sana, sasa kameludi na taarifa lakini mbona umeibania sana hebu dadavua zaidi angalau tujue hao watu wanatalajia kufanya nini X mas
 
nzi.... disciples.... xmass... madudu... i cant connect the dots... i give up!
 
je x-mass yakitokea uliyoyajadili tukuite MTABIRI au MUHUSIKA..
 
[FONT=century gothic said:
Binafsi NAKERWA, NAKASIRISHWA, NA KUCHUKIZWA sana na haya mambo kwamba eti "ameshauriwa vibaya na wasaidizi wake!" Huwa mara zote najiuliza ikiwa anashauriwa vibaya ni kwanini basi kila wakati awe anachukua huo ushauri mbaya!![/FONT]
Nami hapa ndipo ninapomuonaga huyu jamaa ni mzaifu na mpumbavu sana. Kwa mtu makini na unayejua nini unafanya na kuyafahamu mamraka na nyazifa uliyonayo, hiki si kitu cha kujitetea nacho au kusikia wanahabari wako wakiripoti eti kuwa umekuwa misinformed kutoka wka wasaidizi wako. Ni ujinga uliopitiliza................ Kama uko makini ni jambo la kureact mapema sana na kurekebisha maelezo ya wanahabari wako au hata kwa kuwawajibisha kwa habari inayokudharirisha katika jamii.
 
Ka nzi kangu kalikuwa likizo kidogo lakini kamerudi na taarifa ya kitu kama hiki. Sasa watu wasije wakarukia na kufikiria ni kundi la kisiasa hasa baada ya mazungumzo ya wiki hii. Kwa kadiri ya taarifa ni hili ni kundi la kidini lenye msimamo mkali na linadaiwa linataka kujaribu kufanya 'madudu' krismasi hii. Sijui ni kweli kwa kiasi gani...

Unamaanisha UAMSHO, kwani tayari wametoa vitisho kwamba ni lazima viongozi wao wanaoshikiliwa waachiwe mara moja, tofauti na hapo siku ya Krismas itakuwa balaa.
 
Hahaha aumesoma ule uzi wa Facebook page ya Uamsho? achana nao wale wana uchu na Kitimoto yetu
 
Haya ngoja nifunguke zaidi; kuna chatters ambazo haziko sawa kama ni za kisiasa au za kidini za kufanya vitendo vya kuleta hofu kwa wananchi. Sasa tusubiri labda kina Mwema watatoa angalizo wakati huu wa Krismasi kama hawatoweza kuwapata hawa watu wanne siku hizi chache zilizobakia..
 
Mzee Mwanakijiji nimelisikia jambo hili mwanzoni mwa mwez huu and i was shocked, lkn baadae nikajitia moyo haiwezekani watu wawe wanapanga mbinu chafu na mbovu kiasi hiki.

sasa kaa kweli bado linaleta vuguvugu tunaomba sana jeshi la polisi liwe makini wawatie mbaroni hao viongozi manake wanajulikana kisha wawahoji adhima yao hasa ni nn. pia wahakikishe kwamba hakuna mikusanyiko itakayoruhusiwa kwenye sehem zisizo na ulinzi na doria ya polisi na ambazo zimeruhusiwa.
 
Last edited by a moderator:
Ka nzi kangu kalikuwa likizo kidogo lakini kamerudi na taarifa ya kitu kama hiki. Sasa watu wasije wakarukia na kufikiria ni kundi la kisiasa hasa baada ya mazungumzo ya wiki hii. Kwa kadiri ya taarifa ni hili ni kundi la kidini lenye msimamo mkali na linadaiwa linataka kujaribu kufanya 'madudu' krismasi hii. Sijui ni kweli kwa kiasi gani...

7 i.diots.....watu wanawaza mambo ya maana ya maendeleo hawa wamekalia yasiyo na msingi
 
Back
Top Bottom