Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

Tego km tego kuna lile la Mbwa kitu inaganda km Sumaku haitoki mpaka mwenye Mali aje ategue
Hii ilitokea Temeke miaka kadhaa iliyopita.

Mwamba kampanga mke wa mtu akutane nae guest house,mambo yakatiki jamaa akajilia mzigo.

Baada ya kuwamwaga wazungu sasa,Kila akitaka kuchomoka hawezi. Waliitwa hadi wahudumu kuja "kuwabandua" ,ila hawakubandulika.

Option iliyofata ni kuwapeleka Temeke hospitali wakiwa wamefungwa shuka za gesti Huku wamenga'ang'aniana.

Kesi ilikuja kuamuliwa hospital na mume wa yule mwanamke baada ya kupigiwa sana magoti na watu. Akafanya mauchawi yake wakabanduka.

Tukio lingine linalofanana na hili lilitokea Msasani miaka kama kumi liyopita.

Ogopa sana wake za watu. Hasa watu wa pwani.
 
Hii ilitokea Temeke miaka kadhaa iliyopita.

Mwamba kampanga mke wa mtu akutane nae guest house,mambo yakatiki jamaa akajilia mzigo.

Baada ya kuwamwaga wazungu sasa,Kila akitaka kuchomoka hawezi. Waliitwa hadi wahudumu kuja "kuwabandua" ,ila hawakubandulika.

Option iliyofata ni kuwapeleka Temeke hospitali wakiwa wamefungwa shuka za gesti Huku wamenga'ang'aniana.

Kesi ulikuja kuamuliwa hospital na mume wa yule mwanamke baada ya kupigiwa sana magoti na watu. Akafanya mauchawi yake wakabanduka.

Tukio lingine linalofanana na hili lilitokea Msasani miaka kama kumi liyopita.

Ogopa sana wake za watu. Hasa watu wa pwani.
Watoto wa 2000 watabisha scenarios zote ulizozisema nazikumbuka hio ya kwamba na magazeti yalifika kuchukua habari
 
Umri wangu sio mdogo, unatosha kabisa kunifanya nami niwe Kamhenga ingawa si Mhenga kamili hivyo kama nyani mzee tu nimekwepa mishale mingi.

Miaka ya 2000+ Nilikuwa Field Lindi, Pitapita ya hapa na pale nikazama kwa mke wa mtu bila kujua (Nilidanganywa) hapo ndo nikakutana na hiyo kitu inaitwa Tego.... Mateso niliyoyapata siwezi kusahau.

Mwanzo nilifikiri ni ugonjwa wa kawaida, Namshukuru daktari mmoja ambaye aliniita chemba na kunieleza wazi kuwa tatizo ninalopambana nalo kwake Si la kawaida hivyo akanisaidia wapi niende, kweli nikapelekwa kijijini (Chiuta) na ndugu wa huyo Daktari. kuhusu mtaalam aliyenitibu kwa sasa ni Marehemu..

TATIZO LILIVYO KUWA.
Nilikuwa nakojoa mkojo mweusi kama oil chafu, nikishakojoa yalikuwa yanafuata maumivu makali ya kiuno na Sehemu za siri zilikuwa zinawaka moto na wakati mwingine kuvimba.

Nje ya yule Daktari, mdogo wake na yule mganga (Marehemu) sijawahi kumueleza yeyote siri hii, Leo naliweka hadharani ili mpate kujifunza maana ni takribani miaka 21 sasa.

Yule mzee alikataa kunisaidia mpaka pale alipojihakikishia kuwa sikutembea makusudi na Mke wa mtu. Mwisho alinionesha majani ambayo siyajui jina ambayo alisema unaweza kutumia kumgundua Mwanamke aliyetegwa.

Muhimu:
Jiepusheni na wake za watu ndugu zangu, kuna watu wanakufa bila kugundua chanzo ni hao wanawake.

Nawatakia usiku mwema.
Zoeazoea Mwisho Utazoea Majini
 
Mtego mzuri ni ule wa kugandiana kama Dogs

Huu ukiambiwa uweke reheni mali yako, mbona fast tu unaweka kitu mezani ili mtego uteguliwe

Kuna mkasa si uliletwaga humu jamvi miaka ya 2017(kama sijakosea), tukio lilitokea huko Tanga
 
Ukiachana na hayo, kuna hili TEGO, ukitembea na mwanamke aliyetegwa, mwili unakufa gazi
1. Huwezi kuongea lakini unasikia kinachozungumuzwa
2. Huwezi kupumua lakini upo hai,
3. Huwezi kujitikisa, wala kujigeuza,

Watu watazani umekufa kumbe hujafa, hivyo utaenda kuzikwa makaburini wakati bado upo hai ,
1. Unavyo pelekwa makaburini utasikia na
2. sauti za ndugu jamaa na marafiki wanavyoomboleza utasikia , ila ndo hivyo Huwezi kufanya chocote. R. I. P
Hakuna uthibitisho Wa Dr hadi unazikwa?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kuna moja linaitwa LUTAMBULILO huku Iringa, hilo unakufa bila kuumwa. Ni pahh, umekwisha.

Kuna dada mmoja mzuri kweli na anajilengesha sana huku mmewe akiwa mkoa mwingine na anamuacha zaidi ya miezi 8, kamanda harudi home. Dada amejawa na kutu na karibia mzigo uzibe, anajilengesha sana niule ila naogopa lutambulilo. Uhai wangu ni muhimu kuliko uzinzi pia nilijiapizaga kutotembea na mke qa mtu kwani wanaume hatupendi kukaa mbali na wake na familia zetu, ila maisha ndio yanatutenga nao.

Tunapambana na maisha. Hata mi naweza safari kwa miezi 3 nje na home, je wangu naye wamlale?
 
Back
Top Bottom