umewahi kusikia hii eti RAIS wa Tanzania alitembelea Uingereza wakiwa katika pitapita jioni akaona jengo kubwa tu ila haliwaki taa akauliza vp mbona pale hakuna umeme?
akajibiwa pale ni ubalozi wa Tanzania. akawa kimya
umewahi kusikia hii eti
RAIS wa Tanzania alitembelea Uingereza wakiwa katika pitapita jioni
akaona jengo kubwa tu ila haliwaki taa akauliza vp mbona pale hakuna
umeme?
akajibiwa pale ni ubalozi wa Tanzania. akawa kimya