GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,768
Kwa upande wangu sijawahi kutoka na mke wa mtu isipokuwa yuko mmoja ambaye alinisumbua sana, yaani ni yeye ndiyo alikuwa ananitongoza lakini nimekuwa nikitumia siasa fulani hivi kumkatalia.
Tatizo ninalolipata ni kwamba kila nikikutana na mumewe huwa najihisi kukosa amani na uhuru. Mimi sijafanya chochote na wala sio mimi niliyemtongoza mkewe.
Hebu nije kwenu ndugu zangu ambao mmewahi kufanya hivyo.
HIVI UNAJISIKIAJE HASA UNAPOKUTANA NA MWENYE MKE AU MWENYE MUME?