Umewahi kuona self container yenye choo cha shimo ndani?

Ndio! Mimi nimeona Mbagala Kizuiani kunako mwaka 2000. Una zaidi?
 
niliona sehemu fulani uswaz huko dar ila nyumba inaonekana ni ya siku nying sana
 
Niliwahi ona Lupatingatinga huko Chunya kwenye hoteli na mlango wa gunia ,ukweli sikuelewa nilikua safarini ikabidi nitafute mahali pengine pa kulala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom