Umewahi kuona hii?

Umewahi kuona hii?

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Nilikuwa na-download file lenye ukubwa wa GB 6 kwa kutumia uttorent na likaenda mpaka asilimia 63, nika-pause downloading na ku-restart machine kwani niliona kuna network slow down, cha ajabu baada ya ku-restart machine nakuta file lote lipo complete downloaded!, ninachojiuliza ni hizi 47% zilizokuwa bado kuwa downloaded zimeshushwa vipi?, je file litakuwa zima kweli bila matatizo yeyote?.
 
Mkuu, si ungeangalia kwanza properties ya file kama imetimia 6gb? kabla ya kuja kutuuliza sisi ambao hatutakua na jibu.
 
Hata mi ishanipata hiyo nilikuwa na download collection ya mr bean holiday (770 mb) nikaishia 349 mb, nakuja kufungua nakuta file ipo complete ila nilipoiclick ikaplay kama dakiki 26 hivi halafu PC ikajiboot, kwenye kuingiza login info (adminstrator password account) nikajibiwa Account Has Locked Out, Nikalog in kwa safe mode ndipo nikakuta kuna account imejiongeza inaitwa OWNER na ipo logged. Lakini mimi nikijaribu kulog in kwa normal log in as admin naambiwa locked out, ikaenda kama masaa 4 kisha ikaja error YOUR COMPUTER MUST BE REBOOTED AGAIN IN 2 SECONDS, nikajua imesolve tatizo, kuja kuwaka nakutana na BOOTMGR IS MISSING Press CTRL+ALT+DEL to Restart! na do nikawa nimepoteza everything coz ilinibid nitafute window mpya.
NOW SITAKI HATA KUSIKIA UPUUZI WA TORRENT, THEY ARE HACKERS,ila sijaguarantee kwamba site zote za torrents ni trojan, but kwangu mimi neno TORRENT halina tofaut na BOOTMGR IS MISSING
 
Dilogue box iliyokuwa inakuonyesha progress ya file download ndiyo iliyokudanganya, which might be something to do with the over-use of your computer RAM due to multi-tasking. By the way, why did you restart your machine while something was still downloading and in progress? RAM?
 
Mkuu, nili-pause kwanza kisha nika-disconnect modem ndipo nika-restart, so nilikuwa sahihi ila bado sijajuwa nini kimetokea.

Dilogue box iliyokuwa inakuonyesha progress ya file download ndiyo iliyokudanganya, which might be something to do with the over-use of your computer RAM due to multi-tasking. By the way, why did you restart your machine while something was still downloading and in progress? RAM?
 
Mkuu, nashukuru kwa ku-share uzoefu wako, mimi kwangu haijasumbuwa chochote. Unatumia nini kama mubadala wa Torrent?

Hata mi ishanipata hiyo nilikuwa na download collection ya mr bean holiday (770 mb) nikaishia 349 mb, nakuja kufungua nakuta file ipo complete ila nilipoiclick ikaplay kama dakiki 26 hivi halafu PC ikajiboot, kwenye kuingiza login info (adminstrator password account) nikajibiwa Account Has Locked Out, Nikalog in kwa safe mode ndipo nikakuta kuna account imejiongeza inaitwa OWNER na ipo logged. Lakini mimi nikijaribu kulog in kwa normal log in as admin naambiwa locked out, ikaenda kama masaa 4 kisha ikaja error YOUR COMPUTER MUST BE REBOOTED AGAIN IN 2 SECONDS, nikajua imesolve tatizo, kuja kuwaka nakutana na BOOTMGR IS MISSING Press CTRL+ALT+DEL to Restart! na do nikawa nimepoteza everything coz ilinibid nitafute window mpya.
NOW SITAKI HATA KUSIKIA UPUUZI WA TORRENT, THEY ARE HACKERS,ila sijaguarantee kwamba site zote za torrents ni trojan, but kwangu mimi neno TORRENT halina tofaut na BOOTMGR IS MISSING
 
Mkuu, niliangalia properties ya file na hadi muda huu bado inasoma 6gb, file ni iso file nimeenda posta kutafuta DVD za ukubwa wa gb 8 nimekuta duka limefungwa, kwahiyo mpaka jtatu nitakapopata empty dvd nikili-burn ndo nitakuwa na jibu kama linafanya kazi kama kawaida.

Mkuu, si ungeangalia kwanza properties ya file kama imetimia 6gb? kabla ya kuja kutuuliza sisi ambao hatutakua na jibu.
 
Mkuu, Fadhili Paulo, pia unaweza ku extract ISQ files kwa kutumia winrar hivyo kama vipi ungejaribu kwanza ku extract.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, niliangalia properties ya file na hadi muda huu bado inasoma 6gb, file ni iso file nimeenda posta kutafuta DVD za ukubwa wa gb 8 nimekuta duka limefungwa, kwahiyo mpaka jtatu nitakapopata empty dvd nikili-burn ndo nitakuwa na jibu kama linafanya kazi kama kawaida.
Fadhili Paulo ili kujua kama iso yako ime complete ku download tafuta deamoon lite kisha i mount image ilo file lako kama litakuwa zima lita start ku ran automatic kama ukiweka cd ya window usipoona lime run ujue limefeli na hiyo properties uliyo iona huwa ukianza kudownload file lolote la torent automatic linaonekana kama limemalizika maana ukiliangalia ukubwa utaona kama limemalizika kudownlodika so fanya kama nilivyo kuambia then unipe jibu

daemon light pakua hapa
 
Attachments

Last edited by a moderator:
Mkuu, nashukuru kwa ku-share uzoefu wako, mimi kwangu haijasumbuwa chochote. Unatumia nini kama mubadala wa Torrent?

kwa sasa torrent haiwezi kuwa na 100% mbadala. hasa kwa wale wasiopenda kutumia hela. zipo usenet ila hizi si bure na zinahitaji subscription kwa bei kubwa.
 
Hata mi ishanipata hiyo nilikuwa na download collection ya mr bean holiday (770 mb) nikaishia 349 mb, nakuja kufungua nakuta file ipo complete ila nilipoiclick ikaplay kama dakiki 26 hivi halafu PC ikajiboot, kwenye kuingiza login info (adminstrator password account) nikajibiwa Account Has Locked Out, Nikalog in kwa safe mode ndipo nikakuta kuna account imejiongeza inaitwa OWNER na ipo logged. Lakini mimi nikijaribu kulog in kwa normal log in as admin naambiwa locked out, ikaenda kama masaa 4 kisha ikaja error YOUR COMPUTER MUST BE REBOOTED AGAIN IN 2 SECONDS, nikajua imesolve tatizo, kuja kuwaka nakutana na BOOTMGR IS MISSING Press CTRL+ALT+DEL to Restart! na do nikawa nimepoteza everything coz ilinibid nitafute window mpya.
NOW SITAKI HATA KUSIKIA UPUUZI WA TORRENT, THEY ARE HACKERS,ila sijaguarantee kwamba site zote za torrents ni trojan, but kwangu mimi neno TORRENT halina tofaut na BOOTMGR IS MISSING

ukipata ajali ya gari ndio hutopanda tena gari maishani? si uangalie faida na hasara za kuendesha gari? unajua hizi torrent ule mchakato wake wa kudownload file kidogo kidogo na kuliandika kwenye hard disk huwa unapunguza umri wa harddisk. njia nzuri ya kudownload torrent ni kutumia online service kama vile ya zbigz na wenzake wapo wengi tu. na ukiwa na premium ndio almost unaweza kudownload unachokitaka kwa speed murua.....
 
Back
Top Bottom