Umewahi kumsikia mwamba Dr. Matomora?

Umewahi kumsikia mwamba Dr. Matomora?

Hii ndio inatakiwa. Kufanya jambo katika jamii yako vile ulivyobarikiwa. Na sio wale wanodanganya watu kuwa watawasaidia pale watakapopewa madaraka..
 
Kwan kile chuo si cha kwake? Mi nilijua ndo mmiliki mwenyewe
Lakin Dr matomora ilitakiwa Hatoke kwa heshima KIUMA sio kama alivyotoka hadi kufunguliana kesi.
 
Sasa panayumba sana,but mzee anasaidia remotely
Mzee alikuwa vizuri sema sasa alichokosea kukosana na Ma sponsor wenyewe ,angetaka suluhu pande zote mbili asifukuzwa pale
 
Njemba hiyo hapo
Screenshot_20221129-200346.jpg
 
Haaaaahaaaaaa.Jirani yangu huyo. Kuna kijiji kinaitwa Twendembele, amepeleka mradi wa maji. Jamaa yuko vizuri saaana. Kijiji cha Ligunga waliukataa mradi wa maji kwa itikadi ya kiimani. Kwa sasa wanajuta.
Aisee...Imani gani inakataa maji
 
Ameshinda kesi. Dr anarudishishwa kazini kwake wafanya kazi wametangaziwa tayari mwezi mmoja umepewa uongozi wa kiuma
 
Back
Top Bottom