Umewahi kumshinda shetani katika jambo lolote?

Umewahi kumshinda shetani katika jambo lolote?

Kwenye maisha kuna wakati tunakutana na vishawishi ambavyo kwa wakati huo unaweza kuona haina madhara lakini ukifikiria kesho yako, unaamua kutemana nacho tu,

Nakumbuka nikiwa nafanya kazi ya houseboy ile nyumba kulikuwa na mtoto wa kike anasoma kidato cha 3,

Sasa yule mtoto alitokea kunizoea kupita kiasi mpaka nyumbani wakiwa hawapo anakuja getoni kwangu, tunacheza kitandani fresh tu, alikuwa mzuri na nilimpenda,

Kuna siku nikadhamiria nifanye jambo lakini tukiwa kitandani nikajaribu kumvua nguo, yeye akawa ametulia tu, lakini nilivofikiria tu kuhusu 30 akili ikarudi nikaghairisha na sikutaka tena mazoea nae kabisa,

Maana ndo kwanza alikuwa amevunja ungo.
Kuna noti nilipiga majuzi za ghafla nyingi kiasi hata sikuamini ni hapo kazini kwetu!

Sasa Bas nilisha waza kuwa iwapo nikizipata nitashiriki kwenye ujenzi wa hekalu Fulani hivi aiseh,Tena kiwango ambacho kilijiandika nafsini!ndicho nilipanga nitoe!Baada ya kupata fedha tu nikaanza kutaka kushusha kiwango Cha kutoa,niloanza kupigana na nafsi Hadi nikashinda aiseh!nikatuma dogo akaenda kutuma!!

Baada ya hapo Hela ziliolzobaki zimepiga mzigo was maana yaani kazi iliofanyika ni kubwa kuliko maelezo!!


Nitamaliza mwaka nikiwa na Amani tosha kabisa!!
 
Kuna demu jana nilikuwa anataka nimtumie nauli ili aje nikamnyandue, nikaenda chooni kupiga nyeto nilivyotoka tu hata mawazo ya huyo demu nikawa sina na nauli sikumtumia, nikafanikiwa kumshinda shetani
 
Kuna demu jana nilikuwa anataka nimtumie nauli ili aje nikamnyandue, nikaenda chooni kupiga nyeto nilivyotoka tu hata mawazo ya huyo demu nikawa sina na nauli sikumtumia, nikafanikiwa kumshinda shetani
Ujamshinda bado upo kwenye uzio wake
Punyeto mbaya acha.
 
Nini kilikusibu mkuu, maana kwa mtaalam kama wewe mmmh. Au hakukuvutia? Hapa kweli shetani alishindwa.
Nahisi mkuu Ni MTU wa Dar anayekula chips, kuku wa wiki tàtu, sausage, Coca-Cola. Hii menu haijawahi kumuacha mtu salama. Bila mkongo, mkuyati na Viagra wanaotumia hii menu hawana uwezo kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom