Ukikua utaacha.Kuna watu wanafanya kwa makusudi kukomoa wengine, ila wengine inatokea tu na unajikuta hauna jinsi.
Kuna dada kula mtu mtaani alijua ni mpenzi wa jamaa fulani, lakini siku nakutana nae nikamwambia “alipofaidi jamaa panatosha, ni zamu yetu” dada akasema mbona hata siko nae? Eeh nikamwambia basi mimi hii ninafasi yangu. Dada kacheka kaondoka.
Next time tukakutana na nikaona amejaa na yuko serious, kama ni wewe ungefanyaje? Tukaanza gurudumu, penzi halifichiki, watu wakajua, kumbe jamaa ndio alikua anafatilia tu hajakubaliwa.
Bifu likaanza, kuna siku nusu nikatwe panga na yule jamaa, kilichonisaidia, alifaulu akaondoka kwenda shule, nikaachiw utawala, ila tangu pale hatukuwahi kua karibu tena, bifu hadi leo.
Ukiwa handsome, mambo ya kutakiwa na wanawake ni jambo la kawaida sana.
Umeshafeli hadi hapoila nikija kuoa
Kama ikitokea bahati mbayaUmeshafeli hadi hapo
Mambo ya kupokonyana mapenzi waachie wanyama. Bindamu hawapokonyani wapenzi. Kwani watu wameisha hadi upwakia uchafu wa mwenzio?Kuna watu wanafanya kwa makusudi kukomoa wengine, ila wengine inatokea tu na unajikuta hauna jinsi.
Kuna dada kula mtu mtaani alijua ni mpenzi wa jamaa fulani, lakini siku nakutana nae nikamwambia “alipofaidi jamaa panatosha, ni zamu yetu” dada akasema mbona hata siko nae? Eeh nikamwambia basi mimi hii ninafasi yangu. Dada kacheka kaondoka.
Next time tukakutana na nikaona amejaa na yuko serious, kama ni wewe ungefanyaje? Tukaanza gurudumu, penzi halifichiki, watu wakajua, kumbe jamaa ndio alikua anafatilia tu hajakubaliwa.
Bifu likaanza, kuna siku nusu nikatwe panga na yule jamaa, kilichonisaidia, alifaulu akaondoka kwenda shule, nikaachiw utawala, ila tangu pale hatukuwahi kua karibu tena, bifu hadi leo.
Ukiwa handsome, mambo ya kutakiwa na wanawake ni jambo la kawaida sana.
Huyo big alimloga nn imekuwaje kirahisi hivyo!Hahaaa!!!!
Kuna mshkaji wangu o-level (boarding) alikuaga na kidemu chake kiko vizuri kweli, kitoto white flan.
Akanifataga na wazo eti anataka kukatest kale kademu kama ni kaaminifu.
Mie bila kusita nikampa ushauri mshkaji wangu tuliambie jamaa fulani lilikua new comer big big hivi(lilikua na kama siku tatu tu pale shule)lijaribu Kumtongoza demu tuone kama atakubali, big bila kusita akakubali assignment.
Ishu tukapanga ikifika jioni tunapoenda kuchukua chakula, big amtongoze demu, halafu aje kutuambia demu alijibu vipi.
Ile kufika mida ya saa nne usiku tunatoka prepo, tunatawanyika kwenda mabwenini, nakula kona namuona big anamnyonya mate demu, dah!!! Fasta nikamuita mshkaji aje kujionea mwenyewe.
Kesho yake jamaa mshkaji wangu akapigwa na kibuti, tena aliandikiwa ujumbe mfupi kwenye toilet paper (hii ilikua dharau ya hali ya juu kuandikiwa sikutaki kwenye toilet paper
Big alikua na nyota ya kupendwa na mademu. Mida mwingi unakuta mademu yamemzungukaHuyo big alimloga nn imekuwaje kirahisi hivyo!
Asee kumbe! Watu na nyota zAoBig alikua na nyota ya kupendwa na mademu. Mida mwingi unakuta mademu yamemzunguka