Mmmmh mfalme wa Amani ni kweli hili kweli,
Anyway, ngoja nizidishe maombi............
nionavyo mimi....!
WOMEN NEED MEN AROUND THEM...!ndo maana malalamiko yamekuwa mengi humu jamvini.the bottom line ni ''kumtafuta'' na kuzungumza nae,kinyume na hilo that ''PINCH'' you feel will eat you up for the rest of ujana wako
Mambo?
hivi tunaweza kuongea?
pamoja sana...!Mambo poa tu dear..
Ni furaha yangu kuongua na wewe dear..
So whnever ur ready I'm ready..
LD umenifanya nijiskie kuwa na mimi ni binadamu wa kawaida kabisa kwani hii hali kuna wakati hunitokea.
nionavyo mimi....!
WOMEN NEED MEN AROUND THEM...!ndo maana malalamiko yamekuwa mengi humu jamvini.the bottom line ni ''kumtafuta'' na kuzungumza nae,kinyume na hilo that ''PINCH'' you feel will eat you up for the rest of ujana wako
Na mimi KOKUDO hua inanitokea ni khali flan ya hofu either kwa kuwaza ki2 muda mwingi au kuhc ki2 flan mala nyingi hunitokea ninapohc nasalitiwa.lakini pia hua najiuliza kwanini nafikiria v2 ambavyo cna uhakika navyo?na je kama ni kweli c ameamua yy kunisaliti?
Mimi hua najitibu mwenyewe kabla cjaomba msaada kwenu nafanya hivi
*Nafumba macho then navuta pumzi nyingi sana mpaka nahc mbavu zinapanda juu then naziachia kwa pamoja naludia hvyo kila wakati.majibu yake ni mazuri na ya haraka.
*Pia kama maradhi hayo yana7bishwa na mtu ni kudharau/kumdharau haiwezekan mtu akunyime amani wakati mmekutana 2.
*Na kama ni mapenzi km yeye kakuumiza kwa kutoyajari maumivu yako huyo hana maana.
NB:MPENDE MUNGU WAKO 7BU YEYE NDO KIMBILIO LE2 WAKATI WOTE.
Sijui kama ni kitu kile kile ila mimi naweza kuamka nisijisikie kuongea na mtu kabisa!!!Hata salamu naweza nisitoe.....nnachofanyaga hua nasikiliza mziki uliotulia....inaisha yenyewe in no time!!!!
Maskini LD wangu cm yangu haifungui nilitamani niuckie kweli wimbo huo nadhani ungenipa new hope.ucjari LD jipe moyo utashinda.Thanks Kokudo wangu, hebu sikia huu wimbo!!!!!
Nahisi ni hivi hivi,
Ila kuna ambayo inakujia, inakupeleka zaidi rohoni,
kama unatabia ya kuomba utakuwa unajisikia ukae uombe tuuuuu!!!!
Na ukitafuta kujichekesha chekesha hivi unajistukia tu mwenyewe kwamba hauko sawasawa,
Hiyo ya kutulia naona inasaidia, kwa kiasi fulani.
Asante kaka, hebu nichagulie Msasha mmoja niongee naye!!