federicofernandez
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 578
- 392
Wapo nshashihudia wawili
haka kamsemo nimekapenda aseeNasemea tu mkuu, lisilo la asili lisikupe tabu kutaka kujua asili yake.
Lazima ukubali kutoa kwanza nguo zako ndio utanionaNataka nikuone wewe shemale
Soma post 11 ndio imeeleza vzurishemale mwanamke mwenye jinsia 2
Hahah! Kikongwe unajua hawa vijana wanatupa wakati mgumu! Heading nilipoisoma nikajua nakuja kushuhudia Shemale,kumbeee!Akili zako unazijua mwenyewe[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
shemale mwanamke mwenye jinsia 2
Kumbe Na ww watamani kuwaona ma shemale hahahahaha usiombe ukutane Na Dada mrembooo balaa ukajua waenda jumla kumbe waenda liwa[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]Hahah! Kikongwe unajua hawa vijana wanatupa wakati mgumu! Heading nilipoisoma nikajua nakuja kushuhudia Shemale,kumbeee!
Hahahah! Eboo! Sitaki kusikia,mimi nilitaka tu kupitisha macho! Vipi yule mkuu wetu,yupogo bado?Kumbe Na ww watamani kuwaona ma shemale hahahahaha usiombe ukutane Na Dada mrembooo balaa ukajua waenda jumla kumbe waenda liwa[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Yupo alhamisi ndo anaenda kwaoHahahah! Eboo! Sitaki kusikia,mimi nilitaka tu kupitisha macho! Vipi yule mkuu wetu,yupogo bado?
Kumbe anaondoka Alhamisi? Vizuri sana,Ile hali yako vipi? Nadhani dawa uliipata!Yupo alhamisi ndo anaenda kwao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yap nilipona kabisa kabisaKumbe anaondoka Alhamisi? Vizuri sana,Ile hali yako vipi? Nadhani dawa uliipata!
Kereuwiii! Utanikutanisha naye lini na wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yap nilipona kabisa kabisa
Ila me nataka nikukutanishe Na shemela mmoja IV namfahamu ukamuone uso kwa macho
Nipo mjini tayari. We nambie ni lini tukamuone?Ukija mjini
Aya poa! Zitume chap!Ngoja nikutumie no zake yy atakwambia mkutane wap
hebu nifafanulie kwanza jinsia mbili ni papuchi na mhogo ama?wapo wengi [HASHTAG]#asigwa[/HASHTAG] keshakuelekeza. pia mbona kuna member mmoja humu
alishawahigi kujitosa
humu anatafuta mme ila anajinsia 2. kwanini huku mvPM ?