Umewahi kukutana na huu Ujumbe..?

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,882
Reaction score
4,597
Wakuu, kwa wale mliwahi kuomba "Vacancy transfer" Mshawahi kukutana na huu Ujumbe kama Mimi..?

Hawa watu waliotengeneza huu mfumo ni mashujaa sana πŸ˜‚
 
Pole , ndio umekwama hivyo. Jitahidi upige miaka zao mitatu kisha usepe!
 
Naelekea kufunga mwaka wa tatu
Ok.. hapo sasa subiri tu tarehe yako ya kuajiriwa ili ufunge hiyo miaka mitatu..
Ikifika hiyo tarehe mfumo utakuruhusu automatic kuendelea na process
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…