Umewahi kuibiwa simu iphone 5?

Umewahi kuibiwa simu iphone 5?

sio ukae na kunisema nielekeze nijue maana halisi ya neno rock au lock

Nani aliyekusema wewe. Ikiwa hujui tofauti ya rock na lock basi pole yako. Div 0. Asiyejua maana usimwambie maana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani we ndugu yangu wa Geita bwana, unakoseaga sana kiswahili is not just once, au mkimbizi nini


Sent from Mchina

Umeona eehh. Yaani huyu dada kazidi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haaa haa haaaa we acha tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante Lady niece, nachojua smartphone nyingi zina features ambazo waweza kuifuatilia sehemu ilipo na wakati mwingine hata number ya line ya anaeitumia. Ingia google utapata maelekezo zaidi but you can put securities.

Nina simu aina iyo iyo na nimejiunga na iCloud nadhani ina function kama izo?
 
vipi kwa simu nyingine kama samsung, nokia nk
 
Ni takribani mwezi mmoja umepita nilikuja JF kuomba msaada baada ya kuibiwa simu yangu pale Darajani kuelekea mataa ya Changombe. Kwa bahati nzuri nimeipata jana baada ya mtu kuipeleka I-store Mlimani city apate msaada ya kuifungua (Istore n dealers wa Apple product Authorised agents), wahudumu walipoiunganisha na computer zao wakakuta iko locked na ujumbe wangu kwamba simu ile ilikua imeibiwa, atakaeipata anipigie simu kwa number nilizokuwa nimeweka pale, wakanipigia simu wakanieza stori nzima waiomba niende na ID card. Alikua kijana mdogo (sitoweka number yake hapa wala jina lake but kwa maelezo ya wahudumu pale istore, simu hiyo alipewa na kaka yake. Asanteni kwa wale mlionipa moyo kuwa itapatikana na wale waliokuwa wanaitafuta kimya kimya. Kwa ambao walikua hawajaona, hii link ndio niliotoa siku nimeibiwa. https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/608175-zawadi-nono-iphone-5-a.html

Huo ujumbe unauwekaje?
 
Huo ujumbe unauwekaje?
Jamani nauliza kama kuna option ya kufuatilia au kulock cm za nokia (smartphone)
Siku tatu zilizopita nimeibiwa Nokia Lumia 820 window phone
Y
aani imeniuma sana na ni kama mwezi tu tangu niinunue
 
Jamani nauliza kama kuna option ya kufuatilia au kulock cm za nokia (smartphone)
Siku tatu zilizopita nimeibiwa Nokia Lumia 820 window phone
Y
aani imeniuma sana na ni kama mwezi tu tangu niinunue

Next time download hii makitu: McAfee Mobile Security
 
Asante mkuu, uzuri wa hizi iphone, ukifanikiwa kuifunga mapema pale tu inapoibiwa, hakuna mtu au fundi anaweza kuiflash. Hata apple wenyewe ukiwaomba waifungue wanakuambia mtafute owner wake ndio anaweza. So utaipata tu labda aamue kuitupa tu.

Yangu ni sumsung galaxy s3, nitawezaje kulock?
 
Next time download hii makitu: McAfee Mobile Security

hiyo McAfee ni ya kitoto sana, maana kwa muelewa akiifanyia hard reset kwa kubofya vile vitufe vya power+voice up n down, inafuta vyote mpaka hiyo mcafee.
ila inawezasaidia kwa mwizi asiyejua. kiboko ni iphones ila hizo android hazina guaranteed security maana hata mimi nina uwezo wa kuzi unlock zote + windows phone
 
du hongera sana, kuna simu zingine kuibiwa ni vigumu, hivi angeenda kuiflash nayo pia ungeipata?
  • Ni kitu kisichowezekana kwa hizi simu za iPhone
  • Na heshima ya iPhone iko katika hii security
 
Watumiaji wa Samsung nenda sehemu ya security kisha Find my mobile hapo utakuwa moja kwa moja umeingia kwenye tovuti ya Samsung utajisajiri hapo kwa kutumia akaunti yako ya gmail tu nyingine hazifanyi kazi.Kwa kufanya hivyo simu yako ikiibiwa wewe nenda kwenye kompyuta kisha ingia kwenye tovuti hii ya samsung www.findmymobile.com hapo kuna option nyingi unazotaka kuzifanya juu ya simu yako iliyoibiwa au kupotea kupitia kwenye kompyuta yako unaouwezo wa kufahamu simu yako iko wapi kwasababu ipo option ya kuiwasha gps ya hiyo simu toka kwa kompyuta uliyonayo na unaouwezo wa kuiona call log yake na mengine mengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom