Umewahi kuchapa wanao ?

Kama jibu ndio kwanini ulilazimika kuwachapa badala ya kuwa adhabu mbadala na kama huwachapi unawapatia nidhamu vipi?

Ndio na ninafanya hivyo kwa kuangalia umri. Kwenye umri fulani kunakuwa hakuna adhabu mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…