Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,809
Bora uliacha angekupa UTI
Ulilala na Wadada wenzio or else hauvutii [emoji16][emoji16] jokesImenitokea mara 2 mbona nalala na mwanamme bila kunyanduana, mara ya kwanza tulikuwa safarini tukafika Nzega usiku bus linaenda Tabora na sisi tunaenda Mwanza hamna bus la kutufaulisha, hivyo tukachukua chumba kimoja, nilikuwa bado bikra nikamkatalia tukalala hadi asubuhi,mara ya mwisho ni hivi juzi tu huyu tunaitana kaka wa kushibana tumeenda Dom kwenye Graduation pale UDOM, Ila nahisi hakulala maana kulala mzungu wa4 so utani, mie mwenyewe nilihisi nyege zinatekenya[emoji1751]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Moderator, Invisible ni vema ukaunganisha huu uzi na ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara!!Miaka fulani hivi nyuma mimi na jamaa zangu watatu tulijijengea akili ya kuogopa sana ngoma, yaani ilikua tukipiga story za mapenzi tunaongelea ngoma tu all the time hiyo ikafanya kila mwanamke tukimuona tuhisi kama ni HIV+.
Hiyo ilipelekea kukosa kula mbususu kizembe kwa mtoto mmoja aliyekua anatoka chuga kuja shule mkoa mmojawapo nyanda za juu kusini, akiwa kwenye gari tulikua tukiwasiliana kawaida tu lakini ilivyofika saa tatu akaniambia anadhani atachelewa sana kufika na sehemu gari ingemshusha mpaka shule ni mbali kiasi nikamwambia usiogope utapata boda mvua ilikua inanyesha hiyo siku mi nikalala mpaka saa 7 usiku simu inaita kucheki ni yeye akaniambia anakaribia sehemu ya kushukia na hiyo sehemu na ghetto kwangu sio mbali na kulikua na kimvua basi nikasema ngoja nije stend nikusaidie kutafuta boda....nikafika stend nikasubiri kama dakika 10 bus likafika binti akashuka na vi mizigo baadhi.
Kimasihara nikamwambia hii mizigo na hii mvua tena kwa bodaboda mbona utaloa kwanini usilale kwangu, akaniambia sitakua comfortable niliwish nimalize safari now nipumzike mpaka kesho mchana, nikamwambia lakini situation unaiona basi akasema twende kwako, tukachukua boda ikatufikisha ghetto ni karibu tu toka stend kwa sababu ya mvua na mizigo ndo maana tukachukua boda.
Nikampashia maji akaoga kuhusu kula akaomba chai tu nikampashia akanywa muda wa kulala nikamwambia utalala kitandani mimi nitalala kwenye sofa, kweli akalala kitandani but mm usingizi ukawa haupo kabisa nawaza nimege au niache ile mindset ya ngoma ndo ikawa inazunguka kichwani mwangu na hofu ilizidi kwa sababu binti alikua na viupele kidogo tu hivyo nikawa najudge vile viupele si inaweza kuwa ngoma hii, mwisho wa siku nikalala kukakucha mpaka mida ya saa nne binti anaondoka nikiwa sijafanya chochote na nafasi ile kamwe haitajirudia na ninaijutia ile nafasi ya kukusa mbususu kizembe mpaka sasa.
Tuambie wewe ulikosaje mbususu kizembe.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanajiheshimuUlilala na Wadada wenzio or else hauvutii [emoji16][emoji16] jokes
Hawa ndio wale vijana mwanamke akija ghetto usipomgusa wanakuona mzembe hanisi kumbe ni kujiheshimu tu
Mwanamke mpaka anaamua kulala nawewe kitanda kimoja means yupo tayari kupanua mapaja....overHawa ndio wale vijana mwanamke akija ghetto usipomgusa wanakuona mzembe hanisi kumbe ni kujiheshimu tu
Na mwanamke ambaye atakuja ghetto ukamuacha kwa kumuheshimu akatoka halafu huko nje akakudharau huyo ni malaya hafai kabisa
💯Na mwanamke ambaye atakuja ghetto ukamuacha kwa kumuheshimu akatoka halafu huko nje akakudharau huyo ni malaya hafai kabisa
Upo kwenye ubongo wake au mnakaririMwanamke mpaka anaamua kulala nawewe kitanda kimoja means yupo tayari kupanua mapaja....over
Huyo kaka ni impotent [emoji3516]
Usipompanua mapaja baada ya apo ni madharau tu kwa kwenda mbele..Upo kwenye ubongo wake au mnakariri
Bora mwanamke umetokea umethibitisha hili huyo MFALME WETU naona ni miongoni mwa wale vijana wanaokariri[emoji817]
Haya mkuu kila heri [emoji3]Usipompanua mapaja baada ya apo ni madharau tu kwa kwenda mbele..
Bora chuki kuliko lawama, chukua hatua[emoji3516]
Mwanamke anachokisema mtandaoni ni opposite na reality huku kwa ground.Bora mwanamke umetokea umethibitisha hili huyo MFALME WETU naona ni miongoni mwa wale vijana wanaokariri
Ndio wanaume tunapenda papuchi lakini sio kila mwanamke ni wa kulala nayeMwanamke anachokisema mtandaoni ni opposite na reality huku kwa ground.
Mfano utaskia wanasema wanapenda mwanaume mrefu mweusi ila kwa ground ni tofauti.
Af mwanaume kuwa upande wa wanawake unantia mashaka [emoji717]
Man upppppp
Yaan agegusa tu imo,ye aliogopa kuwa mnaheshimiana sana ungeweza kumuona waajabu,kumbe hajui vikojoleo havinaga unduguIla huyu kaka wa kushibana ndo alikuwa mzembe bhana
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Vijana wengi ndio akili zao hizo.Bora mwanamke umetokea umethibitisha hili huyo MFALME WETU naona ni miongoni mwa wale vijana wanaokariri
Na tunaheshimiana hasaYaan agegusa tu imo,ye aliogopa kuwa mnaheshimiana sana ungeweza kumuona waajabu,kumbe hajui vikojoleo havinaga undugu