Umewahi chezea bahati ya kula mbususu kizembe?

Umewahi chezea bahati ya kula mbususu kizembe?

Mwanamke anachokisema mtandaoni ni opposite na reality huku kwa ground.
Mfano utaskia wanasema wanapenda mwanaume mrefu mweusi ila kwa ground ni tofauti.

Af mwanaume kuwa upande wa wanawake unantia mashaka
Man upppppp
Yupo sahihi. Mwanamke anaejielewa hawezi dharau mwanaume alieshindwa kumla kisa tu wamelala pamoja. Ni kujiheshimu tu mtalala na wangap sasa?
 
Ndio wanaume tunapenda papuchi lakini sio kila mwanamke ni wa kulala naye

Sipo upande wowote bado nasimamia msimamo wangu

Hakuna cha opposite wala nini tatizo mnakariri ukilala na mwanamke haimanishi anataka umfanye mfano mwamba hapo juu imetokea emergency safarini mtu hamjui wame share room usiwe mtu hovyo
Ni kweli mkuu, sio kila aliyeko mbele Yako ni halali, Kuna wakati unaishi na mtu kuliko hata ndugu yako wa damu
Vijana wengi Wana mihemuko

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona unasema yeye ndo alikua mzembe, means ulikua unatamani mvunje amri ya 6
Nimeandika kulingana na maelezo ya mtoa mada mkuu, Mimi mwenyewe siwezi kuwa na udhaifu huo kwake hata kama mwili utataka nitajikaza, na tulilala wote kwa sababu hatukuwa na namna

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Imenitokea mara 2 mbona nalala na mwanamme bila kunyanduana, mara ya kwanza tulikuwa safarini tukafika Nzega usiku bus linaenda Tabora na sisi tunaenda Mwanza hamna bus la kutufaulisha, hivyo tukachukua chumba kimoja, nilikuwa bado bikra nikamkatalia tukalala hadi asubuhi,mara ya mwisho ni hivi juzi tu huyu tunaitana kaka wa kushibana tumeenda Dom kwenye Graduation pale UDOM, Ila nahisi hakulala maana kulala mzungu wa4 so utani, mie mwenyewe nilihisi nyege zinatekenya

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Vip wakat wakuvaaa ulivaa mbele yake????
 
Miaka fulani hivi nyuma mimi na jamaa zangu watatu tulijijengea akili ya kuogopa sana ngoma, yaani ilikua tukipiga story za mapenzi tunaongelea ngoma tu all the time hiyo ikafanya kila mwanamke tukimuona tuhisi kama ni HIV+.

Hiyo ilipelekea kukosa kula mbususu kizembe kwa mtoto mmoja aliyekua anatoka chuga kuja shule mkoa mmojawapo nyanda za juu kusini, akiwa kwenye gari tulikua tukiwasiliana kawaida tu lakini ilivyofika saa tatu akaniambia anadhani atachelewa sana kufika na sehemu gari ingemshusha mpaka shule ni mbali kiasi nikamwambia usiogope utapata boda mvua ilikua inanyesha hiyo siku mi nikalala mpaka saa 7 usiku simu inaita kucheki ni yeye akaniambia anakaribia sehemu ya kushukia na hiyo sehemu na ghetto kwangu sio mbali na kulikua na kimvua basi nikasema ngoja nije stend nikusaidie kutafuta boda....nikafika stend nikasubiri kama dakika 10 bus likafika binti akashuka na vi mizigo baadhi.

Kimasihara nikamwambia hii mizigo na hii mvua tena kwa bodaboda mbona utaloa kwanini usilale kwangu, akaniambia sitakua comfortable niliwish nimalize safari now nipumzike mpaka kesho mchana, nikamwambia lakini situation unaiona basi akasema twende kwako, tukachukua boda ikatufikisha ghetto ni karibu tu toka stend kwa sababu ya mvua na mizigo ndo maana tukachukua boda.

Nikampashia maji akaoga kuhusu kula akaomba chai tu nikampashia akanywa muda wa kulala nikamwambia utalala kitandani mimi nitalala kwenye sofa, kweli akalala kitandani but mm usingizi ukawa haupo kabisa nawaza nimege au niache ile mindset ya ngoma ndo ikawa inazunguka kichwani mwangu na hofu ilizidi kwa sababu binti alikua na viupele kidogo tu hivyo nikawa najudge vile viupele si inaweza kuwa ngoma hii, mwisho wa siku nikalala kukakucha mpaka mida ya saa nne binti anaondoka nikiwa sijafanya chochote na nafasi ile kamwe haitajirudia na ninaijutia ile nafasi ya kukusa mbususu kizembe mpaka sasa.

Tuambie wewe ulikosaje mbususu kizembe.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Aise hii story yako imenikumbusha mbali sana enzi hizo muwonga wa mademu kinoma. Nilikamataka demu mmoja toka mig33 hatari ndio kwanza mambo ya social network yanaanza kupamba moto. Basi bwana demu akasema anakuja kunitembelea. Wakati huo nipo chuo. Demu kaja full kumnunulia chips yai na soda story za hapa na pale tukajilaza kitandani.

Hivi na vile delibolo linachoma choma tako la yule demu. Romance kwa wingi mzeya demu anagugumia mie hapo nikiwaza grafuate with As and not Aids nasita kumvua chupi mrembo.
Tkazugazuga hapo wee mwisho demu akasepa zake. Aise niliporomoshewa matusi kwenye sms balaaa.
 
Yupo sahihi. Mwanamke anaejielewa hawezi dharau mwanaume alieshindwa kumla kisa tu wamelala pamoja. Ni kujiheshimu tu mtalala na wangap sasa?
Yaani mwanamme na mwanaume walale kitanda kimoja alafu msikulane utegemee mwanamke akuheshimu hiyo ni nadharia tuu.

Tutalala na wangapi? Tunapaswa kulala na wengi iwezekanavyo kulingana na urefu wa mifuko yetu.
 
Aise hii story yako imenikumbusha mbali sana enzi hizo muwonga wa mademu kinoma. Nilikamataka demu mmoja toka mig33 hatari ndio kwanza mambo ya social network yanaanza kupamba moto. Basi bwana demu akasema anakuja kunitembelea. Wakati huo nipo chuo. Demu kaja full kumnunulia chips yai na soda story za hapa na pale tukajilaza kitandani.

Hivi na vile delibolo linachoma choma tako la yule demu. Romance kwa wingi mzeya demu anagugumia mie hapo nikiwaza grafuate with As and not Aids nasita kumvua chupi mrembo.
Tkazugazuga hapo wee mwisho demu akasepa zake. Aise niliporomoshewa matusi kwenye sms balaaa.
Pole sana mkuu.
 
Imenitokea mara 2 mbona nalala na mwanamme bila kunyanduana, mara ya kwanza tulikuwa safarini tukafika Nzega usiku bus linaenda Tabora na sisi tunaenda Mwanza hamna bus la kutufaulisha, hivyo tukachukua chumba kimoja, nilikuwa bado bikra nikamkatalia tukalala hadi asubuhi,mara ya mwisho ni hivi juzi tu huyu tunaitana kaka wa kushibana tumeenda Dom kwenye Graduation pale UDOM, Ila nahisi hakulala maana kulala mzungu wa4 so utani, mie mwenyewe nilihisi nyege zinatekenya

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Ningetekenya hizo nyayo mpaka baaas. Na mbususu ungenipa vizuri Sana
 
Mungu alikuepusha na mambo mengi (UTI, SYPHILIS, CLAMYDIA, GONO, MIMBA N.K)
 
Kila mtu ktk harakati amepitia hili. Mimi mara mbili nilishindwa ila baada ya miaka kadhaa niliwagonga sana tu, nilifight sana kulipa ule upuuzii
 
Back
Top Bottom