Umewah sikia hii??

Umewah sikia hii??

IT Guru

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
635
Reaction score
113
Kuna mashine ya kukamata wezi ilitengenezwa.
Ikapelekwa marekan ikakamata wezi 444.
Ikapelekwa india ikakamata wezi 250.
Ikapelekwa kenya ikakamata wezi 50.
Ikaletwa tanzania. Unajua kilichotokea ni nn? Had mashine yenyewe ikaibiwa
 
hahahahaha hii ndio Tz bwana wa2 wanakaba mpaka penalt
 
Back
Top Bottom