Sina ningetupia fasta udugu πTupiaaa mafotoo tupiaaaa mafotooπ!
Ngoja tuwaite wadau wakujee kuchangamsha uziSina ningetupia fasta udugu π
Bora ulivyomtag aje apite naked kidume wa kigoma πππNtiluseswa mzeiya wa kupita naked hajiulizi mara mbiliiii ,π€
Tupia ulichovaa muda huu, fahari ya macho Kwa members .... ππSemaaa
Naskia skia umepitaNini?
[emoji23]Sina ningetupia fasta udugu [emoji23]
Kweli ankal? Mi nilishangaa mwanamke gani ana mpaka kudude cha shingoni kile!!! πππMke wa Lovness Tarimo Ajitokeza[emoji15]Tazama mpaka mwisho.
Hii nchi watu washaifanya kama chapati wanaigeuza wanavyotaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Loveness Tarimo ana mke canada na wana mtoto kabisa.. Huku kuja bongo katoroshwa na mzungu aolewe[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutafuta insta sikuoni π€£π€£π€£[emoji23]