win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,948
- 30,564
tuliaa 🤣Usizingue sasa
tuliaa 🤣Usizingue sasa
Asante😋Wee mkaka, mamboo!! Nimekupenda.
💖💖
Wakina nani hawa?It took me 3 days to figure it out did you see what I have seen[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544]View attachment 3363869
Mm kazi kusifia wakaka wasafi tuu, ila kwenye moto sijui kama unaweza kuwaka cheche zikatoka na mtu akaiva
I love you 😍
Umewaza kama Mimi!Inabidi somo la ukakamavu liendelee kufundishwa mitaani maana inaonekana jamii imejisahau kidogo.
Shukrani Mkuu, I love you too💜I love you 😍
Mkuu hata mazoezi mapese mara moja moja unapiga?
Ndio mkuu , usiwe na wasiwasi kazi yaku pia inanitaka kuanza na mazoezi ya mwili pia picha imepigwa nikiwa kwenye motionMkuu hata mazoezi mapese mara moja moja unapiga?
Hakuna mwanaume hapa. Vijanaume vya Dar hivi.
Huyu hata mende au panya anamuogopa na anakimbia. Mwanaume gani kalegea hivi.Mkuu hata mazoezi mapese mara moja moja unapiga?
Nyie vibaka ndio mnaotutukana humu.
Hahaaaaaa kwa tumiguu tule mkuu, usiweke picha yako humu. 😁😁😁Kesho ntawekq usijarii.
Amenipa wasiwasiHuyu hata mende au panya anamuogopa na anakimbia. Mwanaume gani kalegea hivi.
🤣🤣🤣🤣🤣Nyie vibaka ndio mnaotutukana humu.
Unacheka nini?🤣🤣🤣🤣🤣