Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,339
- 8,227
Watu wagaratia sana nyie iyo album lini uliweka 🌛Nijipost mara ngapi? Niliweka album nzima kama hukusave pole yako
Karibu ugali na kitimoto😋☺️
Watu wagaratia sana nyie iyo album lini uliweka 🌛Nijipost mara ngapi? Niliweka album nzima kama hukusave pole yako
Karibu ugali na kitimoto😋☺️
Vipi hana Manyonyo ya NGO? mimi nikiona hii ID nacheka sanalips
shingo
mshepu![]()
🏃💨💨💨💨Simu za button zenye uwezo wa internet
Wewe ni muhaya?😂 😂 😂 Kitambo sana hii simu 2011 nilikuwa nayo nilikuwa namsumbua sana MKURUGENZI Maxence anatoka huko aliko anakuja kunisetia JF

Mgogo 😃😃😃Wewe ni muhaya?![]()
Wewe nae umetokea wapi?Watu wagaratia sana nyie iyo album lini uliweka 🌛
Hapana yule alikuwa ni tapeli, huyu ni pisi kali ya jf.Vipi hana Manyonyo ya NGO? mimi nikiona hii ID nacheka sana
Sasa misifa umetolea wapi?Mgogo 😃😃😃

Tupia ya mwisho mwishoNishatupia sana mkaishia kunicheka Mungu anawaona mimi situpii tena anayetaka kuniona aje kwetu
Kwa niaba yangu tuma nami nifaidike nazo nasio kuishia kuona Avatar ya viatu🤣Wewe nae umetokea wapi?
Nilikua napiga picha za bday yangu nikazitupia selfika kama hukuwepo polee
Mbona zote za button zina uwezo wa Internet au ni Philips 📱?Simu za button zenye uwezo wa internet
Pigilia msumariTupia ya mwisho mwisho
Nilitupia watu wakanicheka nimesema situpii tena!Tupia ya mwisho mwisho
Ni min-meMbona zote za button zina uwezo wa Internet au ni Philips 📱?
Aaaah ulivyo kua pisi Ivo shepu ya mwendo kasi walianzia wapi kukucheka nakusifia wengine we ni ephen mrembo bhnNilitupia watu wakanicheka nimesema situpii tena!
Wakipost wengine mnawasifia nikipost mimi mnaanza kuniuliza diet yangu ipoje
Misifa gani tena? 😂 😂 😂Sasa misifa umetolea wapi?![]()
Bora huku mnaona avatar hata ya viatuKwa niaba yangu tuma nami nifaidike nazo nasio kuishia kuona Avatar ya viatu🤣

😎Tunajuana kabla?Aaaah ulivyo kua pisi Ivo shepu ya mwendo kasi walianzia wapi kukucheka nakusifia wengine we ni ephen mrembo bhn
Ila watu mnamatusi sijui mnatumia vitabu gani kuyapata🤣Hapana yule alikuwa ni tapeli, huyu ni pisi kali ya jf.
Nauliza tena, wewe ni muhaya?tunakunywa na juice 🥤 ya bei kali sanaaa.