Kwa dunia ya jf ukiomba msamaha unaonekana wewe ni dhaifu kitu kikitokea acha kiwe hivyo. Tumeumbwa kisahau watu watasahau tu. Ila ukiomba msamaha unawapa nafasi ya kukupopoa, Jifunze toka kwa Nifah. Kilichomtokea na karudi upya kila mtu hana habari naeOkay
Hadi hapa nipofika id ishaota sugu kwa battle😂
If yu tek dis too serious
Den yu really need some church
Shaggy sijui alimaanishaje..
Cc raraa reree
unao wengi Antonnia?Nimesema Wapendwa .. wako wengi tu
Mnoooo! Wewe huna wapendwa wako humu??unao wengi Antonnia?
Asante sana Mkuu,Hakika Bwana ni mwema,utukufu kwa Mungu.Hongera kuwa na mfungo na kumtafuta Mungu. Mungu akutie nguvu katika njia uliyoichagua.
Mpendwa special wa 4*6Mnoooo! Wewe huna wapendwa wako humu??
Mimi Naongelea wapendwa..Mpendwa special wa 4*6
Hivi hii ya elfu 30 kwani ilikuwaje?yani kuvumilia kusemwa ndo siwezi
kudharauliwa kisa elfu 30 na kuitwa thirty thousand hivyo hapana
nimejifunza humu people will consider me cheap tu .
Mi ndo naanza JanuaryNakumbuka,Nikiahidi kumuombea mtu linakuwa deni kwangu...ni akheri nivunje ratiba za maombi yangu,ila si Yale niliyoahidi kumuombea mtu..yatapiga kelele sana ndani yangu.
I promised you that you'll be in my prayers and I did so and still doing.
Sikukusahau,,tena nilitamka jina hivyohivyo "Binti Kiziwi".. Nikamwambia Mungu wewe unamjua kwa jina lake halisi na unajua anayoyapitia,pia unajua haja za moyo wake.
Hakuna cha hips 🤣🤣🤣
Ni nguo tu Kuna namna huwa inakaa hivyo
Nikibadili nguo utaona.
Mna raha kushinda na huyo mzeeMi ndo naanza January
40 days🙌🙌
This time nimepumzika kwa muda!
Tar 10 tuko na baba Arusha hapo km kawa
Mie nashangaa tuIts working, its working babe sis, vita ilishushwa kubwa sana, naona watu wenyewe wameanza kujiudjust. Mpaka holidays ziishe itakuwa imejulikana nini ninini na nini ninini. 😀
Ubarikiwe mtumishi 😍
Neema tu my dear!Mna raha kushinda na huyo mzee
🤣🤣
Nilikwambia nn Jana?
Now u get me🤣🤣🤣
Nimekaa pale
🤣🤣sasa kwani huko huku kutafuta pipo jaman mpaka uwahofie 😁 ?
[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌usiwe mtuwakujali sana utaumia roho bure.
kua kama mwenzako mahonda alimnanga x wake kuwa anagono nakuwananga wakewenza akina dep na linie kuwa wameambukizwa gono lakini sasa hivi amerejea kwahuyohuyo alietuaminisha anagono na hajali chochote wee ninani ujali kitukidogo hicho?
muige mahonda yeyé ni mbwaimbwaituu ugaigai haelewi atakaaje bushi wakati x wa mjini yupo😁amefosi kingi🤣🤣🤣🤣🤣
alichagua tall and dark handsome man jeda hela hana🤣🤣halafu kunakiandunje tuuu kinawachanganya namahela mahonda akaona isiwe kesi kwani kumsaliti mjeda sh ngapi😁
kwahiyo usijali sana mkuu hutafanikiwa kwenyemambo yako kamawenzio