Sura inatunzwa hiyoπππUmependeza sana na kasura kako mwenyewe...
Kama simu imezingua naelewa jukumu langu. π€£π€£Jmn picha za Tecno nadhani mnaelewa zinavyokua π€£π€£
Kwahiyo kesho tusubiriane tupige kwenye jua
Pendeza sana mama pastaaa... Birthday loading.........ππSawa bana
Ngoja nitupie photo from Tecno π€£
Antonnia Omulasil binti kiziwi cocastic raraa reree π€£π€£π€£π€£
Kesho nitapiga kwenye jua jmn
Mimii Ngachekaaa π€£π€£π€£π€£!Huhuuuuu mniombe msamaha ππ
Mi moyo na mdomo vinapishana moyo unasema mdomo hauna verseDar hiyo baby gal
Asantee ππππmrembo
MiNiitoe wapi?
jewe imva nyagwijima mgabho. Ulahazi?Ikibhondo Mkijiji Cha Minyinya Mgabho
Hivi Ushawahi cheka mpaka bandama inataka kukauka???? Ndomimi sasa lols!Nisamehe sana Dina kwa kweli
πππPendeza sana mama pastaaa... Birthday loading.........ππ
Wacha weeeπEbhanaeeeeee hapa kila kitu kipo π―π₯ππ
Sure boss the one and only smart the great King!
π€£π€£π€£π€£Hii tabia umeanza lini? Omu....sijui,Dr/Doc na wengine wengine...!π
Make room for them in your heart,maisha hayahitaji upweke utazeeka kabla ya wakati maana mwili unahitaji unyunyiziwe mbolea.
Usiku mwema
Nikiamka naomba nipishane na thread kutoka kwa vijana mkiambiana "i love you too,nikinywa maji nakuona kwa glass".π€£
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa πJmn picha za Tecno nadhani mnaelewa zinavyokua π€£π€£
Kwahiyo kesho tusubiriane tupige kwenye jua
Thanks my love ππΊ!Umependeza sana na kasura kako mwenyewe...
Sema Mkuu hawa wadada umewageuza mandondocha.
Kizuri kula na nduguyo mkuu Kwa tayana sina shakaaaa tena mtrotro mbichiiii kabisa hata hajachezewaa kihivooo na smart ataenjoy mnoooo π Anything best for the king you know!Kwahiyo Antonnia kumbe ajue unatunza na Tayana-wog ?Hili movie la kihindiπ€£π€£
π€£π€£πππSema Mkuu hawa wadada umewageuza mandondocha.
Merry Christmas [emoji319] in advance
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngachekaaa mimiiiπ€£π€£ππ€£πππ!Sema Mkuu hawa wadada umewageuza mandondocha.
Merry Christmas [emoji319] in advance
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£Kizuri kula na nduguyo mkuu Kwa tayana sina shakaaaa tena mtrotro mbichiiii kabisa hata hajachezewaa kihivooo na smart ataenjoy mnoooo π Anything for the king you know!