Why uvae hizo black siku ya kuonana? 😅Poa. Bro. Mwambie 12 jioni nitakuwa pale(in black Tshirt)
Once mwananchi always mwananchinimevaa hii na najua wana simba kama Mshana Jr inawauma..!
View attachment 2849458
naupepo wa bahari unalika namna hii.. ukiwa na timu haina stress kama yanga mbona mambo niyamoto tu!
View attachment 2849461
Mbona mkono umekomaa hivyonimevaa hii na najua wana simba kama Mshana Jr inawauma..!
View attachment 2849458
naupepo wa bahari unalika namna hii.. ukiwa na timu haina stress kama yanga mbona mambo niyamoto tu!
View attachment 2849461

🤣🤣nakuja chap🏃🏃🏃😀😀😀 njoo pm
Ondoa ua uniuzie mimi DrUnauzia watu wallpaper...?😁😁
Yaani duhPole. i was asleep.mida ya kazi jioni. Japo stimu sina Lamomy yuko Banned
Nakuona bossOndoa ua uniuzie mimi Dr
Upo madam?Nakuona boss
Mama mchubgaji hivyo vi emoj vinaharibu ngozi yako vitoe
Nipo madamNipo napita pita hapa jmn
Kwema lkn
Za wewe
HaaaaaMama mchubgaji hivyo vi emoj vinaharibu ngozi yako vitoe
Tuko pamoja 🤝🤝Nipo madam
Nafurahi kukuona hapa
I'm gonna tough it out that day niruke,nilewe tilalila.Leo ndo hivi,mwendo wa mishemishe🤣 Antonnia binti kiziwi na wengineo😅😅😅 Omulasil
Kuelekea tar25 siku yangu ya kuzaliwa.....
Naisubiri hiyo mida ikifika usisahau kunitag madamHaaaaa
Mida ya naked Bado boss
Badae badae 😅😅😅
🤣🤣🤣🤣I'm gonna tough it out that day niruke,nilewe tilalila.
Toa hiyo kitu usoni sasa...😅
Usijali boss🤣Naisubiri hiyo mida ikifika usisahau kunitag madam
Subiri hapo nipite "naked" kama mnavyoita ili nikushawishi usiweke pia.🤣🤣🤣🤣