mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,937
nimechelewa ila nimeuona 'mguu'😅
nimechelewa ila nimeuona 'mguu'😅
Mtaalam anasubiria funds amalizie kudevelop ile app yakutolea.😁Dr hilo ua tafadhali.....🏃🏃
Upo Chakanimechelewa ila nimeuona 'mguu'😅
☺️Wa kishua😍🔥🔥🔥
Naona umehamia kwenye sketi
Anne bana
Ehhh, nimemiss nikaona leo nivae kidogo.




Nakuja diaHaya, njoo uninyang'anye!😁
Upige yako peke yakoAende wapii...

Live bila chengaEnheee
Nime surrender🙌🙌🙌Mtaalam anasubiria funds amalizie kudevelop ile app yakutolea.😁
Marahaba nkamu
Wewe tutaongozana getini😂Marahaba nkamu
Huo uteule naupokea kwa mikono miwili🤲
Nitakavyopigwa na mshangao nisipokukuta sasa
Selfie zangu zinakuja usitoke
Tupia ka selfie hapa mdogo wangu uturingishieWewe tutaongozana getini😂
Uzuri siti zetu zipo jirani
Nkamu unadhani nina selfie basiTupia ka selfie hapa mdogo wangu uturingishie
Ngoja nimuite Mideko akuvutie hapa zangu ziko mwanzo wa uzi hukoNkamu unadhani nina selfie basi
Hebu rusha zako