Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

We umeniona wapi hadi useme mie mfupi? Kwa hiyo daladala wanapanda wanafunzi tu sie baba zao tunapanda nini?

Six pack naitoa wapi wakati sifanyi mazoezi, nipo na one big pack hapa sina shida na mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Toyota Hiace? Kimo. Aliyekypa ana bahati wafupi wana mapenzi ya kweli[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Haaaa me najitupiaga sana humu hebu cheki sms za nyuma huko nilipita naked

Happybirthday in advance
Khaaaa
Basi nilipitwaa jmn

Sio mbaya
Thank you dear....ngoja nione nitaenda kiwanja gani😅
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…