Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Hata mimi sijamuona muda sana, jana nilitaka kukuuliza pia. Naamini huko aliko yu-mzima maana nimemmiss kama nilivyokumiss🤣🤣🤣
Khaa mpenzi wako hujui alipo.....anhaaa ushapokonywa na nilikwambia kabisa penzi lenu halitoboi chrismass ukabisha ona sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…