Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu ww hushindwi!!
Weee!! Niambie koma!! E’m fanya chap unipe mchapo huo vizuri, huku ukisindikiza na mafoto ya vacay bff πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
It was epic bfff....yaani si mchezo
Sasa nmerudi
Ghafla nmepata Corona moja amazing hapa nipo najifukiza πŸ˜ͺ
 
It was epic bfff....yaani si mchezo
Sasa nmerudi
Ghafla nmepata Corona moja amazing hapa nipo najifukiza πŸ˜ͺ
Huu mchapo nauhitaji bobo tena unisimulie kwa kituo, zile scene za maloveee ndio uzipeleke taratiiiiibu kwa kituo bila kuruka 😜

Pole bff wangu raha zilikuzidia!!! Hiyo sio corona ni flu za mahaba hizo πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
Ilitakiwa shem azifyonze kwa mahaba zinaisha chap πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Raha zilikuwa nyingi simu ziliwekwa vindenge zikaachwa hukoooo ni mwendo wa kula raha tu kula kunywa ku dance πŸ˜‡
 
Raha zilikuwa nyingi simu ziliwekwa vindenge zikaachwa hukoooo ni mwendo wa kula raha tu kula kunywa ku dance πŸ˜‡
Unajua kunirusha roho bff……..!!!
Hapa nawaza zile ndevu za shem zilivyokua zinatalii kwa ………!!! Jamani 😍😍😍😍
Bff umeweza!!!πŸ™Œ
Gift zangu ziko wapi sasa?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…