Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Hebu weka tenaHapana ni kitenge kile afu ndani kulikua na nguo mbona!
Aaah binti kiziwi umekuja kukiwasha tena 😋🔥🔥🔥🔥
Embu tuone 😁Hapana ni kitenge kile afu ndani kulikua na nguo mbona!
Asantreeeeee!!
Shogare afu we umefutaaaaa! 🥰🥰Asantreeeeee!!
Kitruu furuuuuu😍!
Nougaaa sanaa mremboo unalika hadi mifupaaaa😍😍
Nawee kiwashe😁Aaah binti kiziwi umekuja kukiwasha tena 😋🔥🔥🔥🔥
Unajua mimi sijawahi ona hata mkono wako humu vibaya hivyo bwana! 😆😉Aaah binti kiziwi umekuja kukiwasha tena 😋🔥🔥🔥🔥
😋😋😋 yule jamaa akigoma naruka na wewe 😂
Leo sijatupia dearrr! Umejua kututretremesha auweeeeehhh!Shogare afu we umefutaaaaa! 🥰🥰
Tunakupenda ivo ivo 😉
Hahahahaaaaa am humbled u know 😄Unajua mimi sijawahi ona hata mkono wako humu vibaya hivyo bwana! 😆😉
raraa re Mjanja huyo hata hajawahi kutupia humuUnajua mimi sijawahi ona hata mkono wako humu vibaya hivyo bwana! 😆😉
Na ulivyo maini natafuna hadi basi😋😋😋 yule jamaa akigoma naruka na wewe 😂
Jiongeze sasa mrembo ataka umbles naweee unakwama ujue! Do faster sasa!Hahahahaaaaa am humbled u know 😄
Jiongeze sasa mrembo ataka umbles naweee unakwama ujue! Do faster sasa!Hahahahaaaaa am humbled u know 😄
Basi mi nimekuta zimefutwa zote , sijaingia kwa uzi siku 3 sijui.Leo sijatupia dearrr! Umejua kututretremesha auweeeeehhh!
Santo sana
Kila kitu mezani au sio!??? 😂 ni wewe tu na kisu 😋Na ulivyo maini natafuna hadi basi
Weee hebu nitafutieni namie wa kuruka nae kwani 🤠!😋😋😋 yule jamaa akigoma naruka na wewe 😂
Kichinjio kipo tayari na hapa ushakinoaKila kitu mezani au sio!??? 😂 ni wewe tu na kisu 😋
Chagua shauri ako shangaa utakuta tumegawana wenzio 😆Weee hebu nitafutieni namie wa kuruka nae kwani 🤠!