Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Una mume wee? Mxxxiiiieeeew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninaye treena dume lenye sifa zake haswa πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
Mdogo angu coca niko kwenye penzi zito nimetekwa nikatekeka, huba limekolea nazi!πŸ‘Œ
Hivi ushawahi kupapaswa kwa SAUTI?! Basi huyu shem wako ana sauti zito lenye ujazo la kiume liko so romanticπŸ₯°πŸ₯°, akiongea kwa bibi kunaloa!!
Kachukua sauti za ukoo mzima, sijawahi ku-experience before!! Mungu kaumba, mama mkwe kazaa?! Nyie sijui walipiga style gani wakati wanamtafuta huyu kiumbe?! Mbona wameleta balaa!! Nishaanza kuongea peke yangu na kujijibu mwenyewe njiani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwanza nimekumbuka hivi tulisema mwanaume asiye na hela tuachane naye?
Me naomba mnitoe sio kwa mwanaume huyu hata mia yake siitaki!!! Mwambie sisy Joannah narudisha kadi. Kuanzia leo sio mwanachama wa money first 🀣🀣🀣
Halafu mlisema hakuna kuzaa bila ndoa?! Hapana siko pamoja na nyie, huyu namzalia mapema sana sio kwa raha hizi πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ˜œ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…