Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kazi kwako kuwaalika wana JF tajiri kasema hakuna mchango, kila kitu anamaliza.
Tutaoga mvinyo hiyo siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Na ninavyojua wana JF wakilewa lazima watupatie connection la kuishi nalo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tajiri unaniangusha sasa!! Badala uombe account ya kuweka pesa unaomba foto?!!
Mbona unaanza kunitia wasiwasi na utajiri wako?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🏃🏃🏃Bado yako
 
🤣🤣🤣
Mama weeeee nimechelewa kufuta
Shauri Yao,nawazoom tu....

We Kuna wazuri wengine hapa tunasindikiza wazuri
 
Linda mali usipepese jicho[emoji1787][emoji2089] cost unakuja huku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…