Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Ewaaaaa
Mbona mambo ni motooo
Kazi kwako kuwaalika wana JF tajiri kasema hakuna mchango, kila kitu anamaliza.
Tutaoga mvinyo hiyo siku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ninavyojua wana JF wakilewa lazima watupatie connection la kuishi nalo 🀣🀣🀣
 
Kazi kwako kuwaalika wana JF tajiri kasema hakuna mchango, kila kitu anamaliza.
Tutaoga mvinyo hiyo siku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ninavyojua wana JF wakilewa lazima watupatie connection la kuishi nalo 🀣🀣🀣
🀣🀣🀣
Nimecheka ujue
Kuoga alt wine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…