Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,991
- 54,123
Tu blessNa me sina muda natoka, usiku mwema udugu wangu π₯°π₯°π₯°
Kesho diaTu bless
Kesho ya sangapKesho dia
Nikiingia tu ntakuita uone skeleton πKesho ya sangap
Skeleton wapiNikiingia tu ntakuita uone skeleton π
Mi nimekula jeans hapa! πNawe na kagaun kako ka kulalia
Ni blessMi nimekula jeans hapa! π
Ni-bless wewe...Ni bless
Wii mkali mnoπππWaache shobo tutawaua ooh!! πππ
Tayari nna baba yeyo wanguNjoo nikuwowe
πππ Wizzy kakazaWeee mara moja moja vipi uwe unakuja kutusabahii kwasana uduguuu tutaumwaa kwa kukumis walai!
Uni blessTayari nna baba yeyo wangu
Hatutaki utani na mke wetu wakinga πππWii mkali mnoπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimerudi udugu lete foto Mrs Miongozo [emoji7][emoji7][emoji7]
Mnoo [emoji23][emoji23][emoji23]Hovyo Sanaaa!
Kitamuuu, [emoji104]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo ntaporwa cm wallah.Tatizo huyu boss mkono mfupi mpk nimemsahau [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya tajiri wetu, shem km shem, mwenye mipesa yako mjini na unayemiliki pisi kali JF nzima Mr Omulasil njoo kipande hiki baby wako anakuita. Mtoto kanyooka, halafu kapoa body kinanda!! Tajiri unafaidi [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unayawezaa kwa kweliiiiOyooooo!!! Shem wa kukusaidia kuchagua zawadi za bday ya mrembo nipo hapa Omulasil [emoji23][emoji23][emoji23]
Me mpambe hata tecno inanitosha ila bday girl iPhone 15 Pro inamuhusu ukimtupia na kafunguo hata ka harrier haina shida boss
π€£π€£π€£Tatizo huyu boss mkono mfupi mpk nimemsahau πππ
Haya tajiri wetu, shem km shem, mwenye mipesa yako mjini na unayemiliki pisi kali JF nzima Mr Omulasil njoo kipande hiki baby wako anakuita. Mtoto kanyooka, halafu kapoa body kinanda!! Tajiri unafaidi π