[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinisingiziee.Umefuraaaahi[emoji23][emoji23][emoji23]
Cocaaaaah
Hii kesi yenu mi simo uduguu hebu tupieniii acheni mbambambaa !Udugu wee nimeona watu na mabebez zenu π
Kaza hivo hivo raha jipe mwenyewe laifo iz tu shoti ooh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mbavu zinaumaa.[emoji23][emoji23][emoji23] Shem aje sie hatutaki mambo mengi. Udugu kaona ya nini kufa na tai shingoni na kitu chake anachokielewa kipo humu!! Sio shida zake kabisaaa!!
Shem nakuita njoo utubless Smart911
Basi una simu nzuri sana. Inakutoa kama umechongwa? πMweh Kamera tu mkuu samalekooo ποΈ!
Wee zako huweki mfyuuu!Nikuone sasa
Wee kumbe mambo ni π₯π₯π₯π₯! Hongeraaaa!Udugu natunza ndoa πππ
Vipi uko powa? I miss you π
Ndio uunge vile vipande vipande upate ful sasaπ€Weuweeeee
Mkemiaππ₯π₯π₯π₯
Madam le boss ledie mwenyewe jf nzimaπ₯πππ
Sasa unganisha nzima nzimaππ₯π₯
Yaani nimecheka jmnπ€£π€£πYupi emu nikumbushe kwanza πππ
Tatizo dalali mambo mengi mpk nasahau
We sio wa kunifanyia hvNdio uunge vile vipande vipande upate ful sasaπ€
HahaaaAaaah ina maana hujui au embu tupia Tayana-wog π
Hakuna kama mamaβ₯οΈβ₯οΈβ₯οΈβ₯οΈπ!View attachment 2838913
Yenyewe ina colour
π€£π€£Bado wewe
π€£π€£πTeeeeeenaaah!!! π
Na tunafunga nao mwaka na tunaanza nao mwaka mpya!! Asiyetaka anye boga ππππ
Wapiπ€£π€£
Nishatupia sn
Naona kumekucha π₯ππππππ Shem aje sie hatutaki mambo mengi. Udugu kaona ya nini kufa na tai shingoni na kitu chake anachokielewa kipo humu!! Sio shida zake kabisaaa!!
Shem nakuita njoo utubless Smart911
Jisnap fasta alafu tupia πHahaaa
Sina picha
Hovyo Sanaaa!Yaan App ni hovyoo tyuuh.