Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,213
- 98,061
HahahahahaUnataka kuangalia binti anavyo RAP kwanza?π€£
Hapana iwe kwa wale wa 2008-2012 basiHalaf tujoin wale miaka 2014 kurudi nyuma π wageni marufuku
Acha ikupite tu,baadhi ya bongo ladies bongoz zao ni kituko.
Naomba iwe kwa verified members only.Hapana iwe kwa wale wa 2008-2012 basi
Sawa sawaNaomba iwe kwa verified members only.
Sitopitwa...
Subiri wanakujaNatafuta marafiki, tuteketeze hizi karatasi za mzungu,...[emoji23][emoji23]
Hahahahahaha
Mie niko Cape town fish market hapa
Hapana iwe kwa wale wa 2008-2012 basi
Vigezo nyie wa 2014 kuendelea bado sana, kule tukae wale wa kuanzia 2008 mwisho 2012 . Si zaidi ya hapo, watoto mtulieWeeee sisi je tulikuwa kule kitambo lazima tuwepo
Kama hana nitampatia uongeze dhambi.Kwani anayo? π€£π€£π€£
Tupeni hizo dhambi basi tuangalie style khaaa!!! Mnavyobania utasema nyie ndio mliomkula gigy?!! πππ
Sina aisee, naitamaniπ€£π€£π€£Kwani anayo? π€£π€£π€£
Tupeni hizo dhambi basi tuangalie style khaaa!!! Mnavyobania utasema nyie ndio mliomkula gigy?!! πππ