Hahaha nahofia DP world watanikamata nikiselfika sababu naingia kwenye himaya yao.π€£Acheni unywanywa hebu nanyie tupieni!
" Nione mtu anageuka kuniangalia nilipo ili aigie kwa mwenzie nikikukamata nakuvunja shingo ππ€ "
Acheni Blah blah Maneno mengiii! mfyuuu!Hahaha nahofia DP world watanikamata nikiselfika sababu naingia kwenye himaya yao.π€£
Hapana sitaki kakitambi kangu kashida nikakute mitandaoni mapema, kwenye meme mnaita wenyeweπAcheni Blah blah Maneno mengiii! mfyuuu!
Kwahio wengine ndo hatukamatwi???
Mbona wengine tunatupia vitambi vyetu na hatujare wala neneeee !Hapana sitaki kakitambi kangu kashida nikakute mitandaoni mapema, kwenye meme mnaita wenyeweπ
Nougaaa sanaa!!π!Tumalize mishe halafu tuanze weekend usiku.View attachment 2822968
π§π§
Mwanamke starraaaππ!
Dr.Mariposa nije unifundishe gari!!??Tumalize mishe halafu tuanze weekend usiku.View attachment 2822968
Kwa mbali unafanana(Kasura) na Dida Shaibu!! sema yule kashakuwa bibi.
Mm sina chakutupiaSi Ndo mtupie sasa!
[emoji8][emoji3059]Nougaaa sanaa!![emoji7]!
Mtoto lainiiiiii
Hapo tayari nyingine huyu Mwanaume hataki nile ujana jamaniiπππMwanamke stahaaaππ!
Umenenepajee lol!
Pendeza sana!ππ
Hakika Ijumaa yangu inaenda kuwa barrreeeeeeeedaaaa kabisa!
Santo sana
Veta ndio kuzuri unapata na cheti kabisaDr.Mariposa nije unifundishe gari!!??
πππKwa mbali unafanana(Kasura) na Dida Shaibu!! sema yule kashakuwa bibi.
Hongeraaaa mamaa! Unazaa zako mapema unakula maishaaaa!!Hapo tayari nyingine huyu Mwanaume hataki nile ujana jamaniiπππ
Mbona sioni picha [emoji2296][emoji3166][emoji3166]
Woiii mwaka huu nilitaka nile ujana ila ndo hivyo imetokea neemaπHongeraaaa mamaa! Unazaa zako mapema unakula maishaaaa!!
Nimefuta mpendwaMbona sioni picha [emoji2296]