Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Nimekuona balaa lako huku notification km zote za likes
Hebu tupia foto bas mdogoangu mzuri zuri [emoji12]

Subiri subir ile mida ya wanga[emoji3] nikitupia saiv wote mtakimbia mniachie uzi maan si kwa sura ya hii ya babu mzaa baba na mwili wa shangazi[emoji38] yaan tipwa tipwa
 
Maokoto ya nyokoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda akakupe kifurushi cha asubuhi km alivyosema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu muachee dume km Dume tena OG, kienyeji halisi kutoka Mwandinga.
 
Limeisha anko, subiri warembo waje hapa!!

Nyie [emoji860]Diva’s na slay queen’s kuna big daddie kapatikana! Boss la jf njooni mjifotoe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena mganga kula vikuku vya dawa uhakika
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri subir ile mida ya wanga[emoji3] nikitupia saiv wote mtakimbia mniachie uzi maan si kwa sura ya hii ya babu mzaa baba na mwili wa shangazi[emoji38] yaan tipwa tipwa
Wee Thubutuuuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
JF wanawake wote warembo km walivyo wanaume humu wote wana pesa na wanaishi USA na UK πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…