Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,942
Wacha wee 😂😂😂Wanaume tunaojua ku care tumebaki wachache mrembo, hebu fanya namna mtoto mzuri.
Wacha wee 😂😂😂Wanaume tunaojua ku care tumebaki wachache mrembo, hebu fanya namna mtoto mzuri.
Ss hapa ankal unafanana na yule jamaa wa Kigoma hilo body
Si unajua waha na ubahili 😆😆😆Alinijoboa sina hamu 🤣🤣🤣🤣
Kumsifia kote kuleeee!! Aliniambia “Wewe nisifie ila pesa sina” 🤣🤣🤣🤣
Nov 19😘I wish to see you
Kumbe aliachia goma mwenyewe!!🤣🤣🤣Mshamba alimuachia babe wangu Zulu
Weka full bas tuone 😍Haha tunavaa kwa Kibali maalum tu![]()
Wewe nisifie ila pesa sina”Alinijoboa sina hamu
Kumsifia kote kuleeee!! Aliniambia “Wewe nisifie ila pesa sina”![]()


Anachekesha kweli 🤣🤣🤣🤣Si unajua waha na ubahili 😆😆😆
Mamaeehh!!ngoja nikanywe nyagi na kitimoto kilo,,nisindikizie hii picha broo!!
Shauri zako.Wacha wee 😂😂😂
Ankal huyo jamaa ni nani lakiniSs hapa ankal unafanana na yule jamaa wa Kigoma hilo body

Una namba zake za simu ?
😂😂😂😂 Aliona viashiria vya kuliwa pesa zake!!!
Mi mbaya mkuu, Subiria warembo waje ujichagulie 😂😂😂Shauri zako.