Safi sanaaπNilimka kusali usiku bhana πππ
Imelainikaa π₯π₯π₯π₯Kuku imeiva
Kwani bado ndugu yako hajakata tamaaπ?Unaombewa mabaya ila hujatuambia je ni kweli unamiliki usimzibie riziki
Bishoo tena? Wewe mwanamke unanikosea Bwana harusi mtarajiwaπ€£Tena navoyapenda sasa!
Zulu man anaonekana bishoo ndio namwambia atupie tu!
Sie tunauliza katoa mahari?au anajilia bure tuKwani bado ndugu yangu hajakata tamaaπ?
hamuendani ata kidogo, badili channel πMbona unatuombea mabaya jamaniπ
hamuendani ata kidogo, badili channel [emoji23]
Namchana ukweli tatizo lake mbishi kama mwenzieMfalme unanifurahisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijakupatia wedding Invit. card?Sie tunauliza katoa mahari?au anajilia bure tu
Ndio utupie sasa kumbe sio bishonga safii hioo π€ !Bishoo tena? Wewe mwanamke unanikosea Bwana harusi mtarajiwaπ€£
Alaf mimi mkulima ndio shughuli zangu hizo,nikiwa kijijini kwangu nalima napeleka sokoni na ndio mboga yangu kila siku.
Unataka uchukue nafasi yake?π€£hamuendani ata kidogo, badili channel π
Wedding fyokofyoko.!!Sijakupatia wedding Invit. card?
Labda tamaa ndo ikatike πKwani bado ndugu yangu hajakata tamaaπ?
Ohoooh !naona mnaanza kunichukulia kama yule kijana...Wedding fyokofyoko.!!
Yeah usijali yakiwa tayari tu nayaweka hapa matembele,Ndio utupie sasa kumbe sio bishonga safii hioo π€ !
Mi mwenyewe nayapenda sana matembele!
Nipatie harakaSijakupatia wedding Invit. card?
Hiyo ni Siri ya familiaπSie tunauliza katoa mahari?au anajilia bure tu