Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,192
- 41,976
Utafanya watu wapate pressure lkn ujue🤣🤣🤣Tayana-wog hizi pesa unazitaka au huzitaki? Mbona unamsumbua boss hivi?!!
Mi ninakoelekea nitaongea kwa vitendo!! Ntakuchapa 🤣🤣🤣🤣
Yupo na mtu mzuri sana yaan😂😂😂😂 Si unajua huku changanyikeni
Kaka ako kwan hayupo JF?!
Bas yaishe shost me natania tyuu!!
Nimefungua tayari katibu wangu🤣🤣Tayana-wog fungua pm
Simu ziite sasa 😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23] nitakupa codeHana ndugu mombasa,sikukuu zote niko naye.
muambie arudie bas shem kwa niaba ya mshambaUwiiiiii!! 😍😍🥰🥰🥰🥰
Nyie kaka Zulu ndiomana hasikii wala haambiwi!! Wifi uko motoo
Hivi wewe mtz nwenzetu kweli?!!
Nani kakwambia ? Uko na roho ngumu kwa surprise nitakayomfanyia leo wifi yako,roho haitokuruka?🤣Tatizo kaka nawe umezidi ubahili 🤣🤣🤣
Wewe umeniudhi sana!! Tajiri mpk kachoka kusimama kwa wakala 🤣🤣🤣Jmn nilikuwa nakula
Nimerudi🤣
Hapana bebe naomba uje pm plsKwahiyo code ya kumpa wakala niweke hapa public ina digits 6
[emoji2296][emoji2296]Nimefungua tayari katibu wangu[emoji1787][emoji1787]
Atanivumilia sbb amenielewa🤣Wewe umeniudhi sana!! Tajiri mpk kachoka kusimama kwa wakala 🤣🤣🤣
Nani kakwambia ? Uko na roho ngumu kwa surprise nitakayomfanyia leo wifi yako,roho haitokuruka?[emoji1787]
😂😂😂 unawazaga mbali😂😂😂 Afu unakuta kaka ake ni Mpwayungu sema hajui
Sawa katibu🤣Mpe namba aweke laki kwanza ya bocha tujue anamaanisha!!🤣🤣🤣
[emoji102]Wewe umeniudhi sana!! Tajiri mpk kachoka kusimama kwa wakala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] unawazaga mbali
Ahsante sana😅,hizo codes zina mchanganyo kwa moyo ..mniachie tu mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] nitakupa code
Fanya chap 😂😂Sawa katibu🤣