Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Wewe unanijaza upepo 😂😂😂Uwiiiiii!! 😍😍🥰🥰🥰🥰
Nyie kaka Zulu ndiomana hasikii wala haambiwi!! Wifi uko motoo
Hivi wewe mtz nwenzetu kweli?!!
Wewe unanijaza upepo 😂😂😂Uwiiiiii!! 😍😍🥰🥰🥰🥰
Nyie kaka Zulu ndiomana hasikii wala haambiwi!! Wifi uko motoo
Hivi wewe mtz nwenzetu kweli?!!
Huyu niachie mimi ntamfundisha adabuKanizuia nisiangalie halafu akatoa location. Mwambie naruka fensi na fuko la franga. Zikatumike kwa hasira
Wifi kweli! Akya Mungu 😍😍😍Wewe unanijaza upepo 😂😂😂
UwiiiManeno machache picha kwawingi wapendwa!
Kibosho luxury kisekeWapi?
Hiyo Mitaa mbali kwangu sana sipajuiKibosho luxury kiseke
🤣🤣🤣 Mbona msala huoKuna kaka angu kamzimia nyie 🫣🫣🫣 anipe namba basi
Lala kaka tuna kikao na shem. Sikukuu anaenda kumuona anty yake mombasa mara moja. Kuwa mpoleNimeshtuka kwenye usingizi mzito,
Tabia gani hii unamnadi wifi yako?
😂😂😂😂Lala kaka tuna kikao na shem. Sikukuu anaenda kumuona anty yake mombasa mara moja. Kuwa mpole
Kungwi mwenyewe.Huyu niachie mimi ntamfundisha adabu
Ilo fuko la faranga leta niwatunzie![]()


. NimeishaWe Kantry utamuweza?! 🤣🤣🤣Ni kweli basi unigaie Country tu exchange kwa muda yakikushinda unanirudishia
😂😂😂 eee ndiwooooKungwi mwenyewe.. Nimeisha
🤣🤣🤣🤣Hiyo haiwezekani kabisa😂
Dem habari za uzima wako, nashida wewe bestWamenifungia nisitumie pm![]()
Dada haelewi kaka ake kapenda 😂😂😂Naona anapambania🤣🤣🤣.
Dada anae
Halafu kwanini anamuonyesha picha za warembo wa Jf kaka yake🤣🤣🤣🤣Dada haelewi kaka ake kapenda 😂😂😂
🤣🤣🤣Hakika akatae yeye tu kutumia