Nimeona nimeona wizoHahaha, nimeshakubless hapo juu WiFi yangu.
Oyaaaaa jamaniii heeee π₯π₯π₯π₯π₯π₯πUzi umechangamka sanaπ
Haya, mchana mwemaπ₯΅
Aah wapi sio kirahisi hivyoNasubiri tu. Japo naona mtu katoa location tayari
ππππLabda nikuongezee yake nyingine kama unahitajiπ
Anatuma location lipa kashaweka kibunda π€£π€£π€£Aah wapi sio kirahisi hivyo
Unataka Nije nifunguliwe Uzi bossπ€£π€£π€£
Ndio vya 500 vipo unavizoa mpaka basi. Napenda sana viatu virefu nikivaa nakuwa comfotable sana.Nimecheka eti vya 500
Jmn kumbe wapenda viatu virefu tupo wengi
Hahaha,kama wewe ni dume basi uko vzrMimi dume mkuu[emoji3][emoji3]
Tamaa mbaya π€£π€£π€£[emoji15][emoji15]
Kwakweli tunaomba wale wanaoharibu Uzi wasije humuπππππ mwishowe ufungwe kama wa selfika
HahahahahahaAliyesema Jf haina warembo apigwe ban
Hebu mkemee. Halafu nimeangalia kwa huzuni tu usijaliTamaa mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mke wa mtu huyo
Aliyesema Jf haina warembo apigwe ban
Sitaki niwe maziwa maana yeye ni sumuTamaa mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mke wa mtu huyo
Aah achana na MFALME WETU π€£Kwahiyo unataka kukaa karibu naye?
[emoji41][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Weka kaka tuone uumbaji wa Mungu
Uzi umechangamka sana[emoji18]
Haya, mchana mwema[emoji3062]
Huyo ame blokiwa mbona.Oooh jf wanawake wabaya Haya sasa sijui mtasemaje
Kama nawaona wanavyomzoom mpiga picha kwenye dirisha [emoji23][emoji23]Uzi umechangamka sana[emoji18]
Haya, mchana mwema[emoji3062]
Ndo mie hapaNdio vya 500 vipo unavizoa mpaka basi. Napenda sana viatu virefu nikivaa nakuwa comfotable sana.
Halafu mwanamke akivaa kiatu kirefu anaonekana smart mno.