Umeuona Mji Mpya?

Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,138
1,117
Changamkia tender.........kama una uwezo. Kigamboni hiyo!

 
Last edited by a moderator:
hivi hii itamsaidia bibi yangu kijijini ?, au priorities zetu zipo upsidedown.... (just thinking aloud)
 
hivi hii itamsaidia bibi yangu kijijini ?, au priorities zetu zipo upsidedown.... (just thinking aloud)

Kichwa kinaniuma, the leaders are confused. Hii yoteni kwa interest ya nani sio ya mpiga kura ila ya wazungu, waasia na wageni wengine ambao ndio priority.
 
Kingamboni ni bomu linalosubiri kulipuka Labda Serikali ya CCM iwaamishe watu kinguvu.Kwani mseto uliopo Kigamboni acha tu.Cjui kama this project will take off,Wajanja wamelikologa so kula a lot of leagal complexity
 
Hizi ni ndoto, labda CCM ikiondoka madarakani. Jee zile NHC vyumba sita si zilikua temporary acommodation kwa ajili ya master plan ya wakati ule ? mpaka leo zimekua nyumba za kudumu mpaka zingine zimebomoka zenyewe badala yake kumejengwa nyumba hazikua hata katika hiyo original plan. Angalia Kariakoo, Ilala na kwengineko. Sisemi haiwezekani lakini kwa utawala huu mmmmmh!
 
Back
Top Bottom