Umeumizwa moyo mara ngapi mapenzini?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
hii kitu ni noma, tunaumizwa moyo na hatuachi kupenda tena.
 
Nimeumizwa mara moja tena vibaya mno,almost five years sasa ila huwa nikikumbuka naumia tena. But i have moved on na maisha yangu.
 
mtu anayeumizwa mara ya mwanzo then ikatokea kuumizwa tena zaidi kwa mara nyengine, basi huyo kajitakia. Moyo wa mtu siwezi kuujuwa ukoje, hivyo siwezi kusema nimeumiza mara ngapi ila ni mara moja tu niliyoumizwa na sidhani kama inaweza kutokea kuumizwa kwa mara nyengine.
 
MarA tosha tu
Cha muhimu nimejifunza mengi
Kutokana na hilo...in a very funny way
Is a best thing ever happen to me ..

Dahhh halafu kichwa cha hii thread kirekebishe
Kidoncho..umeimizwa?
 
Mambo ya utandawazi hayo na tukiyaendekeza yatazidi kutuumiza hadi siku ya mwisho.
 
mtu anayeumizwa mara ya mwanzo then ikatokea kuumizwa tena zaidi kwa mara nyengine, basi huyo kajitakia. Moyo wa mtu siwezi kuujuwa ukoje, hivyo siwezi kusema nimeumiza mara ngapi ila ni mara moja tu niliyoumizwa na sidhani kama inaweza kutokea kuumizwa kwa mara nyengine.

Umeninenea, kuumizwa ni mara moja tu jamani hivi kama ulishawahi umizwa huyo mwingine unaesema amekuumiza tena anakua amefanya lipi la ajabu? si ni marudio tu au. Au mi moyo wangu uko tofauti sijui
 
Si kweli kuumizwa moyo ni mara moja........It happens Mara ya kwanza.........Ukisahau na Kukolea sehemu unaweza kuumizwa mara ya pili.......with time kuna uwezekano wa kusahau na kuumizwa tena na tena na tena....mpaka Mwisho wa siku zako.....................Though kila maumivu yana mafundisho and haya kuachu same person.

Life is a Mess, Be watchfull, elewa life/love is mysterious...................Whan it comes, no body ask why it is comming your way.......When love leave you,,....ndio most ask, think, regreat and panic........... Jjust let everything flow at 0 force.

Pole for all waliowahi kuumizwa.
 
mtu anayeumizwa mara ya mwanzo then ikatokea kuumizwa tena zaidi kwa mara nyengine, basi huyo kajitakia. Moyo wa mtu siwezi kuujuwa ukoje, hivyo siwezi kusema nimeumiza mara ngapi ila ni mara moja tu niliyoumizwa na sidhani kama inaweza kutokea kuumizwa kwa mara nyengine.

Hii kauli yako ifikilie mara mbili mbili
 
Nimeumizwa mara moja tena vibaya mno,almost five years sasa ila huwa nikikumbuka naumia tena. But i have moved on na maisha yangu.
Pole Graca,ndo tatizo la kupenda sana na ukawa na trust kupita kiasi.
 
Nimeumizwa mara 1! Sijasahau mpaka leo huu mwaka wa 3. Nikikumbuka naanza kulia upya kama vile ndo tukio la jana yake. Nimejitahidi kusahau nimeshindwa!
 
Nimeumizwa mara 1! Sijasahau mpaka leo huu mwaka wa 3. Nikikumbuka naanza kulia upya kama vile ndo tukio la jana yake. Nimejitahidi kusahau nimeshindwa!
Pole sana SL kwa yaliyokukuta lakini miaka mitatu ya kilio na kusaga meno kusema ukweli thats too much hasa ukizingatia kuwa mwenzio anakula nchi na huyo aliyesababisha uumie. Ya nini bana binadamu aliyezaliwa na mwanamke kama wewe akutese kiasi hicho.Jitahidi tu nafasi ikitokea jenga imani na mtu mwingine na kisha usonge mbele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom