Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
Una degree?Nakumbuka nilipokuwa form 2 nilianza kupenda sana majibizano na wenZangu kuhusu siasa yaani ilitokea napenda sana kukosoa serikali kwa kuwa ndiyo kitu simple sana kuliko kusifia sababu ni kwamba toka tunavyopata uhuru fikra zetu
Ushauri wako please pia upande wako vipi umetimiza ndoto zako?
Diploma kakaUna degree?
Una degree?
Ndugu pascal mayalla(Bw njaa) hana populality kihivyo zaidi nitapoteza muda.Kuibgia kwenye siasa Tanzania na ukang'aa ni wepesi sana.
Wapo wazee wa vibahasha akina Pascal Mayalla, watayarishie vibahasha vyao iwatakupamba na kukupaisha tu.
Vibahasha tu, hakuna zaidi.
Hapo ngumuDiploma kaka
Sii uwongo ndugu ninayo degree ya PAHapo ngumu
Mkuu kama hauna Elimu ya degrees huwezi Kupata mileage katika siasa utakuwa Kama karaiSii uwongo ndugu ninayo degree ya PA
Muhimu ushauri wako nitauzingatia please fungukaMkuu kama hauna Elimu ya degrees huwezi Kupata mileage katika siasa utakuwa Kama karai
Muhimu ushauri wako nitauzingatia please fungukaMkuu kama hauna Elimu ya degrees huwezi Kupata mileage katika siasa utakuwa Kama karai
Don't go there in politics if you have not enough educatedMuhimu ushauri wako nitauzingatia please funguka