Umesoma vitabu gani mwaka 2020?

The holy Quran
The monk who sold his Ferrari
The five Am club
Marry him and be submissive
Healthy eating habits.
Men don't love women like you
Sala na masharti Yake
Hiki the monk who sold his ferrari kinanipigia sana kelele. Kila kona nakutana nacho. Huwa naogopa vitabu vya hivi(self help). Nisaidie summary yake, labda ntakijaribu.
 
Umejifunza nini mkuu hadi sasa..
 
Hicho cha njama ni cha Musiba huyu huyu anayejiita Mzalendo
 
Kila kitabu hapa nimesoma zaidi ya Mara 5

1:The monk who sold his Ferrari by Robiin Sharma

2:48 laws of power by Robert Greene

3:Jab,Jab,Jab,Right hook by Gary Vaynerchuk

4:The Baron letter by Gary C Halbert

5:A perfect guide for personally development by David Allen

6: Think & Grow rich by Napoleon Hill

7:The Richest man in Babylon by George s clason

8:Rich dad poor dad & Cash flow quadrant by Robert kiyosaki

9: Saikolojia ya mteja by Joel N

10: Seduce her with text by Matt Ardisson

To be honest hiki kitabu namba kumi kilinisaidia sana kukamata "Pisi" Kilahisi
 
Ukimaliza pia naomba utuulize je, kwa mwaka huu mzima wa 2020 tumepiga Mizinga ya Kuomba Hela kwa Watu wangapi kwa Ugumu wa Maisha?
 
Baadhi ya vitabu nilivyosoma mwaka 2020 ni:

1. Maajabu ya Vitabu by Godius Rweyongeza

2. The Monk who Sold His Ferrari by Robin Sharma

3. Limitless by Jim Kwik

4. A Man of the People by Chinua Achebe

5. An Enemy of the People by Henrik Ibsen

6. Things Fall Apart by Chinua Achebe

7. Weep Not Child by Ngugi wa Thiong'o

8. Animal Farm by George Orwell

9. Songa Mbele by Meckson Nzogela

10. Tell Me Your Dreams by Sidney Sheldon

11.The Trial of Dedan Kimathi by Ngugi wa Thiong'o and Micere Githae Mugo

12. The River Between by Ngugi wa Thiong'o

13. If God was a Banker by Ravi Subramanian

14. The Meditations by Marcus Aurelius (the Roman Emperor)

15. Kaptula la Marx by Euphrase Kezilahabi

16. Can't Hurt Me by David Goggins (sijafikia mwisho, naendelea nacho)


Nawasilisha
 
Nimesoma vingi sana. Miongoni mwavyi ni :

1. There is A God cha Antony Flew
2. The Demos (Jinn)
3. The Soul (Rouh/Roho)
 
Mkuu umenunua hard copy au umesoma softcopy.kuna kitabu nimekicheki kinagonga laki moja mwe nikaamue nipotezee.Vitabu hard copy ni ghali sana.
Nilivutiwa na OSHO, jamaa alikuwa ana library kubwa sana Nadhani hakuna mtu mwenye library kubwa kama ile.Jamaa alikuwa anajua sana mambo ya werevu
Ukisoma sana vitabu unakuwa unajua kila kitu, af wanaokuzunguka wanaanza kukuona kama unajua kila kitu, unawashinda hoja kisha wanakubatiza jina.
 
Roger Munchaster
Hii ni nondo ya physics.
Naona watu wanasoma vitabu vya self development lakini vya teknolojia na sayansi Hamna.Ndio kusema wanasayansi wetu hawasomi vitabu vipya au humu ni art tu.
Mi ninasoma vya kitaaluma,
1.Introduction to java programming. Y.Daniel Liang
2.An introduction to Object Oriented programming- C.Thomas Wu
2How to program, Paul deitel and Harvey deitel
3.Teach yourself java in 21 days by laura lemay,Charles l.Perkins
4 Head first java, by Kathy Sierra and Bert Bates
5.Java programming hand book,by David.H.Friedek
Java7android smSam teach yourself Java in 21 days.
 
vitabu vya ujasusi by sombody nyerere tanzania
 
sasa vingi hapo ni kwa wale wano taka kufanya programing
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…